Yaan ni balaa huu mwaka unatuishia vbaya aki tena
Haha pamba neni tu na hali yenu ... naona mpaka mwanamke mwenzenu ana wakataa " kweli itakuwa hamfai hata kwa kulumangiaYaan ni balaa huu mwaka unatuishia vbaya aki tena
Tupo kibao tu nyie c kutwa kusema jf women are rejectedKumbe kuna wadada wana akili kiasi hiki..!
Kwakweli maana uyo bwana katupaka uharo hatare
How is it possible uishi na mtu na usifall in love nae.....?!No its not abt being skeptical its about being real....women have from the beging of life been the down fall of many a man. So that is a serious lesson to keep in mind at all times.
Many a man inlove with the dimple have made the mistake of marrying the whole gal.
It should be take serious coz ukicheka na mwanamke kwenye hili suala utalia wewe.
Nyie ni dada zetu na maa zetu and i shall respect u for that and also kama wake zetu but i will never ever love a gal hilo sitafanya. Mambo yakuanza kufa mapema nani anataka.
Tupo kibao tu nyie c kutwa kusema jf women are rejected
How is it possible uishi na mtu na usifall in love nae.....?!
Au wewe kufall in love unachukulia ni kitu gani?!
Sent using Jamii Forums mobile app
ππdada umeolewa kama bado
Mi natafta mke bwana , yaani huu ulimwengu wote ntaufanya wako mamii
Pliz pliz dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naona umerudi na kasi kubwa sana. Ila wewe jamaa kuna mahali utakuja kukamatwa utakuwa unajicheka mwenyewe!Huyo mwanaume ni bwege kweli....yaani kashafanya kosa...usimpende mwanamke!!! Utakufa mapema bwana ooh.
Sio rahisi, wanawake walio wengi (ambao pia Ni wachache sana) wanaoelewa hivi ni 35+. Yaani ni hadi pale maisha yanapowafundisha.I hope wanawake wenzio watauelewa huu ujumbe. Wengi wao wamekuwa ni wa kulaumu even if root ya tatizo imeanza kwao.
Wajue jukum la ndoa si la mwanaume tu.. hata wao wana part ya kucheza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mambo gani tena haya mkuu yakutakiana njaa....hapa hakamatiki mtu kaka....yani mie ni kugegeda na kusepa sitaki mambo ya kujuana ati....ukipenda mwanamke unaishia kuumia wewe wacha wao waumie.Mkuu naona umerudi na kasi kubwa sana. Ila wewe jamaa kuna mahali utakuja kukamatwa utakuwa unajicheka mwenyewe!
Hahaha hapana mkuu wala sikuombei njaa, ni vile tu ninafahamu watu kadhaa waliokuwa na misimamo kama yako lakini walikuja kunasa baadaye. Yaani hadi mtu unashangaa!Hahaha mambo gani tena haya mkuu yakutakiana njaa....hapa hakamatiki mtu kaka....yani mie ni kugegeda na kusepa sitaki mambo ya kujuana ati....ukipenda mwanamke unaishia kuumia wewe wacha wao waumie.
Hahaha hapana mkuu wala sikuombei njaa, ni vile tu ninafahamu watu kadhaa waliokuwa na misimamo kama yako lakini walikuja kunasa baadaye. Yaani hadi mtu unashangaa!