Wanawake....let's be kind to men!!

Wanawake....let's be kind to men!!

No its not abt being skeptical its about being real....women have from the beging of life been the down fall of many a man. So that is a serious lesson to keep in mind at all times.

Many a man inlove with the dimple have made the mistake of marrying the whole gal.
It should be take serious coz ukicheka na mwanamke kwenye hili suala utalia wewe.

Nyie ni dada zetu na maa zetu and i shall respect u for that and also kama wake zetu but i will never ever love a gal hilo sitafanya. Mambo yakuanza kufa mapema nani anataka.
How is it possible uishi na mtu na usifall in love nae.....?!

Au wewe kufall in love unachukulia ni kitu gani?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
How is it possible uishi na mtu na usifall in love nae.....?!

Au wewe kufall in love unachukulia ni kitu gani?!

Sent using Jamii Forums mobile app

Its all down to how u look at matters realy...i just dont see myself ever loving a woman...yaani nimpende kiumbe ambae amesababisha magumu yote haya nayo pitia...dnt make sense to me. Forgive but dnt forget brother...kwa jasho lako utakula kwa sababu yake alafu leo nimpende...no ways
 
Huyo mwanaume ni bwege kweli....yaani kashafanya kosa...usimpende mwanamke!!! Utakufa mapema bwana ooh.
Mkuu naona umerudi na kasi kubwa sana. Ila wewe jamaa kuna mahali utakuja kukamatwa utakuwa unajicheka mwenyewe!
 
I hope wanawake wenzio watauelewa huu ujumbe. Wengi wao wamekuwa ni wa kulaumu even if root ya tatizo imeanza kwao.
Wajue jukum la ndoa si la mwanaume tu.. hata wao wana part ya kucheza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio rahisi, wanawake walio wengi (ambao pia Ni wachache sana) wanaoelewa hivi ni 35+. Yaani ni hadi pale maisha yanapowafundisha.
 
Mkuu naona umerudi na kasi kubwa sana. Ila wewe jamaa kuna mahali utakuja kukamatwa utakuwa unajicheka mwenyewe!
Hahaha mambo gani tena haya mkuu yakutakiana njaa....hapa hakamatiki mtu kaka....yani mie ni kugegeda na kusepa sitaki mambo ya kujuana ati....ukipenda mwanamke unaishia kuumia wewe wacha wao waumie.
 
Lizzy kama umebadilika inapendeza Sana. Nakumbuka back then kuna majibu ulikuwa unatoa kwenye nyuzi, nikawa nasema mimi nikiwa na mtu Kama wewe ungekuwa unakula makofi sana.

Karibu tena.
 
Hahaha mambo gani tena haya mkuu yakutakiana njaa....hapa hakamatiki mtu kaka....yani mie ni kugegeda na kusepa sitaki mambo ya kujuana ati....ukipenda mwanamke unaishia kuumia wewe wacha wao waumie.
Hahaha hapana mkuu wala sikuombei njaa, ni vile tu ninafahamu watu kadhaa waliokuwa na misimamo kama yako lakini walikuja kunasa baadaye. Yaani hadi mtu unashangaa!
 
Hahaha hapana mkuu wala sikuombei njaa, ni vile tu ninafahamu watu kadhaa waliokuwa na misimamo kama yako lakini walikuja kunasa baadaye. Yaani hadi mtu unashangaa!

Ah hao walijitakia wenyewe bwana....wee kama umenuia basi utahakikisha juu chini jambo lako likamilike....nitakupa mfano kaka wa fidel castro. Yeye yule jamaa alijua yeye ni wanted man na wamarekani hivyo ata chupi alikuwa anabadilisha kila leo..maana washezi wanaaeza kuweka sumu kwenye chupi bureee....so ata mie naona itakifa sehemu nitaenda kwenye extreme ili kuhakikisha sinasi pabaya
 
Back
Top Bottom