Wanawake mjifunze kutoka kwa Meghan Markle, mpelekeshe mwanaume unavyojisikia

Mambo ya kupiga magoti kwa wakwe yashapitwa na wakati.wanawake siku hizi wamesoma na wanamishahara Yao .Wanaume muanze kujipanga
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]

Jr[emoji769]
 

Ok ok, ila sehemu za siri zitaumia vipi wakati hakuna tofauti maishani ya mtu kufanya tendo la ndoa mara 1000 na mtu mmoja au watu 10 kila mmoja unafanye nae mara 100?
 
Wanaume wa JF bwana,,,

Eti amesema ukweli mtoa mada wanawake tusome na tupate ajira,,, wanajidai kuruka kimanga, sijui kwa nini mtu aki mention elimu na ajira kwa wanawake kuna watu Ego zao zinakua hurt?????? Mnavyoshangaza sasa nenda kule jukwaa la Love Connect WANAUME WOTE wanataka mwanamke aliye na Kisomo na ambae ana shughuli ya kumuingizia kipato! Hamjielewi 😂😢😢😢😥😥😥😊
 
Aise hivi mbona kwenye kupeana pesa hamsemi kuwa ni utamaduni wa wazungu?? Au wanawake kutafuta pesa na kuhudumia familia ni utamaduni wa waafrika??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aise hivi mbona kwenye kupeana pesa hamsemi kuwa ni utamaduni wa wazungu?? Au wanawake kutafuta pesa na kuhudumia familia ni utamaduni wa waafrika??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nachojua mwanaume ndio anasimamia shoo ya kipato cha nyumba. Labda mwanamke aamue kumsaidia mume. Ila jukumu hilo ni letu na hatupaswi saidiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…