Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,737
Hivi kumbe kusoma ndo kumpelekesha mwanaume, basi mi hapo ndo nilikuwa sijamuelewa!
Maana niliona mwanaume anapaswa kupelekeshwa, kumbe ndo lugha mpya ya mjini kumpelekesha mwanaume maana yake ni kusoma na kuajiriwa, duh nimejifunza jambo jipya hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kweli umelisema kutoka moyoni mwako mrembo, kuna vitu haviko sawa.Hii century nyingine mtapiga deki na kupika no time
Endelea kumpa jogoo maji ya moto ukidhani kwamba anaweza taga mayai ya kuchemsha...Mimi I run the show mume wangu akifanya mchezo amekwisha .Pesa zake zetu zangu zakwangu peke yangu
Hakuna wanawake wanaojiona wamefanikiwa maisha kama wanaovaa vindala vyenye manyoya na makava ya simu yenye maskio
Kama huyu mtoa mada alochafua atmosphere
Nakukumbusha tu tupo karne ya 21 ,hayo mambo ya kuwekana kwa chupa ni ya karne ya 18 hukoAkileta ujuaji unamtengeneza. Hawa bila kutiwa kwenye chupa hawaelewi.View attachment 1320221
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ya kubaniwa huwa inauma usiombe ikukuteDawa yenu kubaniwa tu tuone hizo mimba atabeba nani,
Kama ni kukomoa jibebeshe uone raha ya u single baba[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo roho mbaya ulofundishwa na mama yako iyo,na baba yako anafanyiwa unyama huo na mama yako pia.Mimi I run the show mume wangu akifanya mchezo amekwisha .Pesa zake zetu zangu zakwangu peke yangu
Mpuuzi kabisa halafu zaidi anafananisha familia na maisha ya kufalme/royalty na maisha mengine or familia nyingineSiku akimiliki ule mjengo wa Buckingham ndiyo ntaamini kampelekesha,tena Meghan asipojichunga atarestishwa in peace ile family hainaga muchezomuchezo.
Utatamba kwa wakati huu bosi, ila your time is coming, sikuombei mabaya ila your time is coming , wewe si unamtemea mate Mungu kwa kukupa mume sababu ya pesa ulizonazo..i rest my case!Mimi I run the show mume wangu akifanya mchezo amekwisha .Pesa zake zetu zangu zakwangu peke yangu
Sasa haya yote unafanya ili iweje?Mimi I run the show mume wangu akifanya mchezo amekwisha .Pesa zake zetu zangu zakwangu peke yangu
Mambo ya kupiga magoti kwa wakwe yashapitwa na wakati.
Wanawake siku hizi wamesoma na wana mishahara yao. Wanaume muanze kujipanga
View attachment 1320201