Wanawake Mjitafakari na Wanaume Usimpende Mwanamke kwa Kumuonea Huruma Utajiponza

Wanawake Mjitafakari na Wanaume Usimpende Mwanamke kwa Kumuonea Huruma Utajiponza

Bueno

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2022
Posts
34,600
Reaction score
59,760
Km kichwa cha mada kinavyojieleza ningependa nieleze kwa ufupi sana sababu mimi sio mwandishi mzuri.

Lakini ningeanza na wanawake mjitafakari sana mnapoingia kwenye mahusiano. Ipo hivi unakuta mwanamke ana umri 28+ jioni ile pale jua lishazama kashatembea kilometres nyingi kashaishi sana unyumba na wanaume kadhaa kwa miaka kadhaa ila mambo anayoyafanya ni km ana miaka 12. Nonsense.

Ila kuna katoto ka 2005 tu hapo kanafanya mambo mazuri zaidi kumshinda huyu wa 90 huko hivi mimi km mwanaume mwenye akili timamu nitamuacha yupi nitaenda nimebwagwa shangazi wa 90 nimechukua wa 2005.

Mbaya zaidi huyu wa 90 umehangaika nae analilia mtoto hashiki mimba kumbuka kashakaa na wanaume kadhaa kinyumba hapo kabla hangaika kuisaka period na madawa ya hapa na pale weee mpaka imepatikana period ilipopatikana tu kawa mbogo maneno kibao na matusi km yote yaan akazionyesha rangi zake zote zilivyo nikasema hapa nilikua nimeparamia shetani, bwaga wa 90 chukua wa 2005.

Nirudi kwa wanaume hapa sitaki kusema mengi ila nawaambia tu usimpende mwanamke kwa kumuonea huruma kuna muda utafika hatoikumbuka huruma yako na utaishia kuteseka tu kwamba nilimuonea huruma lakini yeye leo hii haikumbuki huruma yangu. Nilimuonea huruma Jamila alikuja kwangu analia.
 
pole kwa kutendwa inaelekea kidonda cha maumivu bado kibichi.

Wanawake wengi wenye umri 25+ ambao hawajaolewa ni damaged goods kuwa makini sana wengi wamekojolewa vya kutosha wanamsubiri nice man amweke ndani kumstiri

Don't be one
 
Ebu na mimi kwa mara ya kwanza nitoe duku duku hapa aiseee...

Hawa ndgu zetu kiufupi baadhi yao hawajui wanataka nini...?

Hawajui wanahitaji nini mpaka sasa....
Mi msimamo wangu ni ule ule kama ana mtoto huyo ni YAKUZI na kama ana miaka kuanzia 23 huyo ni YAVUZ

Nimekumbuka demu wangu flan hv ambaye tulikua tupo deep kabisa kipindi hiko kabla sijawa mlevi wa mishangazi . Huyu mdada tulipendana mno kiasi ambacho tukawa kama mwili mmoja an toka form 4 mpaka tunamaliza advance...

Ishu ilikuja kutokea ni kwamba nard jeshi nakuta mtoto kama kaanza ku change hv..
Nika escape mapema..

Nimeingia chuo mwaka wa kwanza tu naskia ana mimba, na hapo kaachwa na huyo mtu wake, yupo kwa mama ake..

Basi katika pilika pilika hizi na zile demu bado akawa anahitaji tuishi wote ila sasa nikicheki ana mtoto..

Majibu yangu yalikua yale yale "" wewe kusoma kwako kote civic sekondary umeshindwa kujua ishu za early pregnancy na early marriage...""

HApo nikajua kweli wadada baadhi ni YAVUZ japo wachache ni YAKUZ
Now yanapatikana ma deal ila kuyafanya inakua ngumu kutokana na mtoto aliyenaye.

Silaumu kuzaa ila nacholaumu kwanini hakutengeneza mazingira ya kumlea mwanae...

Now ananilaumu mm ndo chanzo kwa kuwa nilimuacha...
Kiufupi hakuna kuhurumia hawa mabint ambao ujana wao wanauchezea na kama wanajifariji kuna watu na pesa zao watawaoa hao watu na pesa zao ndo tunawaita YAVUZ au nice man (kichwani wana matope)

Nimalize kusema popote alipo Vishu Mtata mwambie ile mada yake aliyoanzisha jukwaa la mapishi.... Akafute maana kuna watu wameanza kuongelea mambo ya hovyo
 
Kwaiyo unataka kusema wasichana wa 2000 wmetulia kuliko waliozaliwa 90' 😄😀😀😄😀 wako ila sio wale mnaowataka nyinyi
 
Wanawake wengi wenye umri 25+ ambao hawajaolewa ni damaged goods kuwa makini sana wengi wamekojolewa vya kutosha wanamsubiri nice man amweke ndani kumstiri

Don't be one
Wanatafuta nice guys
 
Wanatafuta nice guys
Shoga zao wakiwaambia kuhusu bad boys wanahamia upande huo wanaona nice guys wanaboa wanataka washika nywele za rasta na kuvutwavutwa km gunia la mkaa
 
Kwaiyo unataka kusema wasichana wa 2000 wmetulia kuliko waliozaliwa 90' 😄😀😀😄😀 wako ila sio wale mnaowataka nyinyi
Wachache sana.
Ila soko lao linaelekea ukingoni wengine wengi sasa huku mtaani wanaishia kupagawa tu maana wapo wapo tu wamejaa viburi na jeuri na hawaolewi labda kuzalishwa tu.
 
Maisha yanaenda kasi binti wa 2005 sasa ana 20 yrs,ni Mama kabisa.
Hawa ndio wa KUWAENJOY SASA achaneni na mishangazi.Hiyo mishangazi ya 90 ni ya kuchapa TU!!! KAMA INAVITU FLANI HIVI AMAIZING na kutoka nduki hakuna kujenga KIBANDA.

#KULENI MBUSUSU,IMEANDIKWA!!!

#KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI.
 
Tunatambaa na chaki,,,soko lipo kwa namba "E".Namba "D" ni damaged beyond repair.

📌No reform no Erection!!!
 
Back
Top Bottom