Ebu na mimi kwa mara ya kwanza nitoe duku duku hapa aiseee...
Hawa ndgu zetu kiufupi baadhi yao hawajui wanataka nini...?
Hawajui wanahitaji nini mpaka sasa....
Mi msimamo wangu ni ule ule kama ana mtoto huyo ni YAKUZI na kama ana miaka kuanzia 23 huyo ni YAVUZ
Nimekumbuka demu wangu flan hv ambaye tulikua tupo deep kabisa kipindi hiko kabla sijawa mlevi wa mishangazi . Huyu mdada tulipendana mno kiasi ambacho tukawa kama mwili mmoja an toka form 4 mpaka tunamaliza advance...
Ishu ilikuja kutokea ni kwamba nard jeshi nakuta mtoto kama kaanza ku change hv..
Nika escape mapema..
Nimeingia chuo mwaka wa kwanza tu naskia ana mimba, na hapo kaachwa na huyo mtu wake, yupo kwa mama ake..
Basi katika pilika pilika hizi na zile demu bado akawa anahitaji tuishi wote ila sasa nikicheki ana mtoto..
Majibu yangu yalikua yale yale "" wewe kusoma kwako kote civic sekondary umeshindwa kujua ishu za early pregnancy na early marriage...""
HApo nikajua kweli wadada baadhi ni YAVUZ japo wachache ni YAKUZ
Now yanapatikana ma deal ila kuyafanya inakua ngumu kutokana na mtoto aliyenaye.
Silaumu kuzaa ila nacholaumu kwanini hakutengeneza mazingira ya kumlea mwanae...
Now ananilaumu mm ndo chanzo kwa kuwa nilimuacha...
Kiufupi hakuna kuhurumia hawa mabint ambao ujana wao wanauchezea na kama wanajifariji kuna watu na pesa zao watawaoa hao watu na pesa zao ndo tunawaita YAVUZ au nice man (kichwani wana matope)
Nimalize kusema popote alipo
Vishu Mtata mwambie ile mada yake aliyoanzisha jukwaa la mapishi.... Akafute maana kuna watu wameanza kuongelea mambo ya hovyo