Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana, huna haja ya kuendelea kulia hakuwa wa kwako huyo. Sikiliza wimbo IT IS NOT EASY na mwingine Whisky Lullaby's zitakufariji kidogo.Hivi ni kwanini unaweza ukajitoa kwa mwanamke wako ukampa kila kitu yaaan,wengine hadi wanawalipia mpaka ada zao vyuoni wakiwa masomoni huko LAKINI mkikosana kidg tuu anasahau wema wote(upendo) uliomtendea anakuacha unabaki unalia nakujiona una mikosi..??
Nyimbo?!!! Ndio atazidi kulia 😀Pole sana, huna haja ya kuendelea kulia hakua wa kwako huyo. Sikiliza wimbo IT IS NOT EASY na mwingine Whisky Lullaby's zitakufariji kidogo.
Ndio ujinga wa kusafiri safari ndefu bila spare tyre! Ni hatari sanaNyimbo?!!! Ndio atazidi kulia 😀
Achukue na hiyo ya Rihanna ' Rehab.
Nadhani shida hatupati wanawake sahihi
Mwenye matako makubwa anapata mwenye hela
mwenye tabia nzuri anapata mwenye tamaa
Wewe umepata mwanamke anayetaka mali nyingi na six pack na hivi vitu havikai pamoja, Au mwaaume anayetaka mwanamke mwenye shape ya kinyamwezi na sura ya kinyarwanda na kucha kama jini alafu awe mcha mungu, anakufulia na kukupikia chakula kizuri no haikai
Watu wakikitana wanaopendana kweli TRUST me hutasikia ngonjera kama hizo, tutafute pair zetu kwa makini
Mpwa kamaliza weekend vibaya....dah ila kaepushiwa gharama za Christmas na New year. Angeweza kuendelea kuhudumia kisha utamu apewe mwingine yeye aishie kutuma zile jumbe za kufowadi za New Year na Christmas
Kaa kwa kutulia kijana upendo haununuliwi. Yaani unampa vyote ivyo ukitegemea akupende nyambafu acha muumizwe mpaka akili iwakae sawa.
Watu kama hao/wewe sio wa kupewa pole maana ni mambo ya kujitakia hayo. Labda nikwambie kitu ndgu yangu katu usije mgharamia mwanamke kwa kutegemea upendo zaidi au ndoa au chochote toka kwake. We fanya kama unasaidia tu na tena msaada wako uakisi kiwango chako na usipojiskia kumpa usimpe si ni zako mzee.
Wewe tenda wema uende zako. Ulipokuwa unamfanyia hayo si ulikuwa unapewa mbususu? Sasa kwa vile umemtendea wema ndiyo awe kifungoni hata ukifanya utopolo (au akipata mwingine bora zaidi yako) usipigwe chini kisa eti ulimtendea wema?
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Chukulia wema wako kama ni sadaka. Ukilipwa mema sawa. Ukiambulia shubiri napo sawa. Binadamu ni kiumbe mtata sana na kumwekea mategemeo yenye mlengo mmoja ni kujitafutia matatizo tu. Live in the present. Timiza majukumu yako kwa mpenzi wako. Ukipewa hiyo mbususu itandike sawasawa...and expect nothing more, nothing less...Utaishi katika uhalisia zaidi.
#KuchapiwaHakuepukiki
#HawaraHasomeshwi
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani
Akirudi kesho utampokea??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee ni kweli ngoja niwe mpole huenda nimeepushiwa mambo ya mwaka mpya na Christmas [emoji119][emoji119][emoji119]