Twyn
JF-Expert Member
- Dec 19, 2020
- 993
- 550
- Thread starter
- #61
Nje ya topic kidogo,...Ni makosa kuamini kwamba mwanamke anatakiwa akupende kwasababu tu ulimtendea wema kwenye jambo flani. Ni makosa kutumia wema wako kama hukumu kwa mwanamke endapo ataenda kinyume na matarajio yako. Ukiamua kumsaidia mwanamke we msaidie tu bila kutegemea fadhila au kulipwa wema wako. Mwache mwanamke akupende yeye mwenyewe automatically lakini usitumie wema ulomtendea kama dhamana
kabisaaaaa kula like