Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,994
- 4,729
Ndo hivo mkuuAah kumbe nanyie hua mnatupanga mafungu ee[emoji849][emoji849][emoji849]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hivo mkuuAah kumbe nanyie hua mnatupanga mafungu ee[emoji849][emoji849][emoji849]
Wanawake wabinafsi sanaHivi ni kwanini unaweza ukajitoa kwa mwanamke wako ukampa kila kitu yaaan,wengine hadi wanawalipia mpaka ada zao vyuoni wakiwa masomoni huko LAKINI mkikosana kidg tuu anasahau wema wote(upendo) uliomtendea anakuacha unabaki unalia nakujiona una mikosi..??
For sure mkuu, too selfish nafkir n nature adseWanawake wabinafsi sana
Yeah ni nuture kabsa mpk umpate mwanamke ambaye anawaza hat mme wake sijui avae nini ujue uyo sio mbinafsi sana .ww unawaza kujenga nyumba ya wote yy anataka kujenga kwao au atumie iyo Ela kufanyia mambo yakeFor sure mkuu, too selfish nafkir n nature adse
Yeah ni nuture kabsa mpk umpate mwanamke ambaye anawaza hat mme wake sijui avae nini ujue uyo sio mbinafsi sana .ww unawaza kujenga nyumba ya wote yy anataka kujenga kwao au atumie iyo Ela kufanyia mambo yake
Walishindwa kuthamini bustani ya eden sembuse ada ya chuo.Hivi ni kwanini unaweza ukajitoa kwa mwanamke wako ukampa kila kitu yaaan,wengine hadi wanawalipia mpaka ada zao vyuoni wakiwa masomoni huko LAKINI mkikosana kidg tuu anasahau wema wote(upendo) uliomtendea anakuacha unabaki unalia nakujiona una mikosi..??
Hivi umesikia wapi kua waumin ambao walikua wanatoka sadaka kanisani ikitokea siku ya MWISHO hawajafuzu kuingia mbingun watarudishiwa sadaka zao? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hili liko wazi tangu karne 14 zilizo pita.Hivi ni kwanini unaweza ukajitoa kwa mwanamke wako ukampa kila kitu yaani, wengine hadi wanawalipia mpaka ada zao vyuoni wakiwa masomoni huko LAKINI mkikosana kidg tuu anasahau wema wote(upendo) uliomtendea anakuacha unabaki unalia nakujiona una mikosi..?
Hii ni silika ya wanawake wote hata wake zetu ila wale wachache sana walio rehemewa na Mola muumba. Mpaka mtume alipoligusia hili ujue Wanawake hili mnalo,mnakithirisha sana mashtaka na kuzishusha au kushusha mema tunayo wafanyia.kwa nini umlipie ada hana baba yake??
pole hilo nalo litapita
Sio huwatumia ni kwamba tunatumiana na hela zao tunakula[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haha mnateteana ee.......ndio maana wanaume hatuwaamin tena wengi sahv ni HIT $ RUN
Kutenda wema na kuenda zako ni katika tabia nzuri yenye kusifiwa na uko sahihi ila hii silika wanayo Wanawake karibu wote na ni katika tabia mbaya inapaswa kukemewa na wao Wanawake wamakanike kwayo waiache.Wewe tenda wema uende zako. Ulipokuwa unamfanyia hayo si ulikuwa unapewa mbususu? Sasa kwa vile umemtendea wema ndiyo awe kifungoni hata ukifanya utopolo (au akipata mwingine bora zaidi yako) usipigwe chini kisa eti ulimtendea wema?
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Chukulia wema wako kama ni sadaka. Ukilipwa mema sawa. Ukiambulia shubiri napo sawa. Binadamu ni kiumbe mtata sana na kumwekea mategemeo yenye mlengo mmoja ni kujitafutia matatizo tu. Live in the present. Timiza majukumu yako kwa mpenzi wako. Ukipewa hiyo mbususu itandike sawasawa...and expect nothing more, nothing less...Utaishi katika uhalisia zaidi.
#KuchapiwaHakuepukiki
#HawaraHasomeshwi
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani