Wanawake mkikosana kidogo tu anasahau wema wote(upendo) uliomtendea

Wanawake wabinafsi sana
 
Tatizo halipo kwa mwanamke tatizo lipo kwa wanaume wengi kuufanya wema na upendo kwa mwanamke kuwa deni.......

Msaada au kutenda wema ni matendo ya kiungwana lakini yanapogeuka na kuwa deni hufuta alama zote za wema na misaada hiyo kuonekana kuwa ni masimango........

Unapomtendea wema au kumsaidia mwanadamu usiifanye nafsi yako iweke mzigo wa deni dhidi yake Bali isafishe nafsi yako kwa kutegemea fadhila za Mungu kwani yeye ndio analipa kila tendo lifanywalo na mja wake kulingana dhamira yake ......
 
For sure mkuu, too selfish nafkir n nature adse
Yeah ni nuture kabsa mpk umpate mwanamke ambaye anawaza hat mme wake sijui avae nini ujue uyo sio mbinafsi sana .ww unawaza kujenga nyumba ya wote yy anataka kujenga kwao au atumie iyo Ela kufanyia mambo yake
 
Hawa viumbe aisee mungu atuongoze tuu.....wengi wabinafs sanaa
 
Walishindwa kuthamini bustani ya eden sembuse ada ya chuo.
Hawa wewe kamata mgegeduane basi
 
Walishindwa kuthamini bustani ya eden sembuse ada ya chuo.
Hawa wewe kamata mgegeduane basi

Hahahaha sasa mzee ukifanya hivo inamaana hautokuja uoe..??
 
Hivi umesikia wapi kua waumin ambao walikua wanatoka sadaka kanisani ikitokea siku ya MWISHO hawajafuzu kuingia mbingun watarudishiwa sadaka zao? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haha mnateteana ee.......ndio maana wanaume hatuwaamin tena wengi sahv ni HIT $ RUN
 
Hili liko wazi tangu karne 14 zilizo pita.

Hapo utamsikia anakwambia "Huna jema lolote ulilo nifanyia" muda huo huo umemuona,anakaa kwako,unamlisha unamvisha na unasaidia ndugu zake.
 
kwa nini umlipie ada hana baba yake??

pole hilo nalo litapita
Hii ni silika ya wanawake wote hata wake zetu ila wale wachache sana walio rehemewa na Mola muumba. Mpaka mtume alipoligusia hili ujue Wanawake hili mnalo,mnakithirisha sana mashtaka na kuzishusha au kushusha mema tunayo wafanyia.
 
Haha mnateteana ee.......ndio maana wanaume hatuwaamin tena wengi sahv ni HIT $ RUN
Sio huwatumia ni kwamba tunatumiana na hela zao tunakula[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kutenda wema na kuenda zako ni katika tabia nzuri yenye kusifiwa na uko sahihi ila hii silika wanayo Wanawake karibu wote na ni katika tabia mbaya inapaswa kukemewa na wao Wanawake wamakanike kwayo waiache.
 
Sio huwatumia ni kwamba tunatumiana na hela zao tunakula[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa mbona mnasemaga umenichezea mwili afu umeniacha.......kumbe tulichezeana wote
 
Sio huwatumia ni kwamba tunatumiana na hela zao tunakula[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Au na nyie pia muna HIT$ RUN???
 
Nje ya topic kidogo,...Ni makosa kuamini kwamba mwanamke anatakiwa akupende kwasababu tu ulimtendea wema kwenye jambo flani. Ni makosa kutumia wema wako kama hukumu kwa mwanamke endapo ataenda kinyume na matarajio yako. Ukiamua kumsaidia mwanamke we msaidie tu bila kutegemea fadhila au kulipwa wema wako. Mwache mwanamke akupende yeye mwenyewe automatically lakini usitumie wema ulomtendea kama dhamana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…