Palina
JF-Expert Member
- Oct 9, 2021
- 3,551
- 9,522
Aah wewe kwa hio phrase umeelewajeExperience ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah wewe kwa hio phrase umeelewajeExperience ipi?
Nani anataka mazoea na wazee sasa ?Mie mtu mzima sitaki mazoea
Vayolensiiiii [emoji16][emoji16][emoji1][emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1]Wanatak watu waone wakat mwenzio akiwa na washkaji zake anasema hakutaki[emoji3]
Yapo dada tusijifanye wahindi wakat tunadate na wabongo waliovurugwa 😂😂😂Vayolensiiiii [emoji16][emoji16][emoji1][emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!Mimi demu wangu akiniambia nimpost hua na hide wote namuacha yetetu
Alafu namba mbili ni hii 👇👇View attachment 2528196
Hebu tuache kwanza 😄 😄😄😂😂😂😂 yan naumalizia ushangazi.. ili niwe kokoo rasmiiii
Kwamba nakuchota au 😂Hebu tuache kwanza 😄 😄😄
Usipopita sehemu kama hizi si unaweza kudhani dunia haina mchana yaani muda wote giza tu.
[emoji3][emoji3][emoji3]sana tuuuu!!!ila wanaumeYapo dada tusijifanye wahindi wakat tunadate na wabongo waliovurugwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli Kabisa huku ni pa kupoozea mishemishe na majukumu unakuja kurelax na kujua na kujifunza experience za MMU sometimesUsipopita sehemu kama hizi si unaweza kudhani dunia haina mchana yaani muda wote giza tu.
Nasubiria uniite na kuleee ambako wanakuzuia kukoment
Nipe link ya kule kwa boxin kwanguKweli Kabisa huku ni pa kupoozea mishemishe na majukumu unakuja kurelax na kujua na kujifunza experience za MMU sometimes
Hahaa!
Kule nipo pinned kwasasa siwezi kukoment mpaka March mbele mbele huko!! Nikirudi ntakuita uje kutusamilia😎!
Akili za hawa viumbe zinawatosha wenyewe , demu Wang alikua na hio tabia mkigombana anapost wanaume ili aniumize , furaha yake ilikua ukimuuliza aluyempost ni Nani?Story iko hivi....
Nilikua na mpenzi wangu ambae tulidumu kwenye mahusiano kwa takribani miezi 6 lakini tulipishana tu Kiswahili kdg tu na nilijaribu kuzungumza nae lakini nikaona kama mwenzangu bado kanuna flani na wakati tunazungumza mimi nilikua nimesafiri kikazi kwa muda wa mwezi mmoja so hatukua mkoa mmoja kama kawaida.
Kuna siku niliingia wasap nikakuta kaweka DP ya mwanaume mwingine nikajua tu tayari ana mpenzi mpya au huenda alikua nae kabla hata hatujapishana kiswahili so alichokua anatafuta ni sababu tu ili awe free.Binafsi nilivyoona vile wala sikutaka kuhoji mana nilishajua nini kinaendelea.
Kwakua namba yake sikuifuta niliendelea kuona status zake za WhatsApp akimposti kwa kasi yule jamaa yake mpya.
Sasa chakushangaza jana yule manzi kanicheki kwa normal text na kuniuliza "Mapenzi na mimi yamekufa ?"
Mimi nikamuuliza kwanini unasema hivyo, akanijibu "Mana naona uko kimya kama vile hunijui" Nikamwambia sio kwamba nipo kimya ila nilishaona wewe tayari una mpenzi mpya sasa si vyema mimi kuanza kukutumia text au kukupigia mana nitakua nakuharibia mahusiano yako akanambia "Sipo nae" nikamuuliza kwanini akanambia "mkorofi na mimi ukorofi sipendi" Nikahisi tu mbali na ukorofi kuna jambo atakua ananificha na huenda jamaa kashakula tunda kaona hakuna cha ziada.
Wanawake mnapoingia kwenye mahusiano mapya punguzeni show off za social media mana huwezi jua huenda huyo unaemtambia kwamba upo na mpenzi mpya siku moja ukahitaji support yake.
Hakikisha kama unamposti mtu kwenye social media uwe na uhakika nae kwamba mnaenda kuingia kwenye ndoa mana siku ukiacha kumposti ni rahisi watu kujua kwamba mahusiano yako yapo kwenye hali gani.
Mimi demu wangu akiniambia nimpost hua na hide wote namuacha yetetu
Alafu namba mbili ni hii [emoji116][emoji116]View attachment 2528196
AlaaNapenda mambo ya siri .. Sitaki hata ndugu yangu ajue natoka na nani .
Kilishawahi tokea kisa?Kwa experience yangu wanaopost wapenzi wao hawajiamini
Wako-insecure n its like they are proving us wrong