Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Unao wengi ndi maana huwezi kuwapost utawagonganisha na utakosa ugali.Sipost bwana wasap kwangu mie
Nikupost? Wakuone? Tuachane?
Ghaiii
Ni mbinu nzuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unao wengi ndi maana huwezi kuwapost utawagonganisha na utakosa ugali.Sipost bwana wasap kwangu mie
Nikupost? Wakuone? Tuachane?
Ghaiii
😂😂😂 ni kupost siku after ndoa aisee, napo sio guarantee sana[emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mara kumbe anafana na WA fulaniii
No marawaaaaaaaa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
😂😂😂 mimi siwezi hide people to view my status, so nikiweka ukoo mzima utaona.Unao wengi ndi maana huwezi kuwapost utawagonganisha na utakosa ugali.
Ni mbinu nzuri.
Aaah wapi wewe msanii tu😂😂😂 mimi siwezi hide people to view my status, so nikiweka ukoo mzima utaona.
Sitaki kuwashangaza na lolote
NdiyoAaah wapi wewe msanii tu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Me niliwekwa stutus akafuatwa na rafiki zake wanne wote wakaenda ku confess , den alivyo niuliza hata siku kataa.
UmeolewA?Nina miaka 36.
Hata wakati niko under 30
Sikuwahi fanya hicho kitu
Wacha mamboo za wewe tuko pamoja sawa kabisa.Nina miaka 36.
Hata wakati niko under 30
Sikuwahi fanya hicho kitu
Huo sio utoto inaumaUtoto raha sana.
Nisalimie 😂Wacha mamboo za wewe tuko pamoja sawa kabisa.
Duuh! Ndo wanakabaga adi kutaka kuona viewers??Ukiombwa kuona viewers
Bila shaka huyo mpenzi wako ni hizi kizazi cha mwendokasi cha 2OOOs tabu sana hii generation iko speed mno kwenye haya mambo ya show-offs za mitandaoni...Story iko hivi....
Nilikua na mpenzi wangu ambae tulidumu kwenye mahusiano kwa takribani miezi 6 lakini tulipishana tu Kiswahili kdg tu na nilijaribu kuzungumza nae lakini nikaona kama mwenzangu bado kanuna flani na wakati tunazungumza mimi nilikua nimesafiri kikazi kwa muda wa mwezi mmoja so hatukua mkoa mmoja kama kawaida.
Kuna siku niliingia wasap nikakuta kaweka DP ya mwanaume mwingine nikajua tu tayari ana mpenzi mpya au huenda alikua nae kabla hata hatujapishana kiswahili so alichokua anatafuta ni sababu tu ili awe free.Binafsi nilivyoona vile wala sikutaka kuhoji mana nilishajua nini kinaendelea.
Kwakua namba yake sikuifuta niliendelea kuona status zake za WhatsApp akimposti kwa kasi yule jamaa yake mpya.
Sasa chakushangaza jana yule manzi kanicheki kwa normal text na kuniuliza "Mapenzi na mimi yamekufa ?"
Mimi nikamuuliza kwanini unasema hivyo, akanijibu "Mana naona uko kimya kama vile hunijui" Nikamwambia sio kwamba nipo kimya ila nilishaona wewe tayari una mpenzi mpya sasa si vyema mimi kuanza kukutumia text au kukupigia mana nitakua nakuharibia mahusiano yako akanambia "Sipo nae" nikamuuliza kwanini akanambia "mkorofi na mimi ukorofi sipendi" Nikahisi tu mbali na ukorofi kuna jambo atakua ananificha na huenda jamaa kashakula tunda kaona hakuna cha ziada.
Wanawake mnapoingia kwenye mahusiano mapya punguzeni show off za social media mana huwezi jua huenda huyo unaemtambia kwamba upo na mpenzi mpya siku moja ukahitaji support yake.
Hakikisha kama unamposti mtu kwenye social media uwe na uhakika nae kwamba mnaenda kuingia kwenye ndoa mana siku ukiacha kumposti ni rahisi watu kujua kwamba mahusiano yako yapo kwenye hali gani.
ShikamooNisalimie 😂
Si haukuwa na smart na network kubwaNina miaka 36.
Hata wakati niko under 30
Sikuwahi fanya hicho kitu
Mie mtu mzima sitaki mazoeaKINA Nani ?
NdiyoDuuh! Ndo wanakabaga adi kutaka kuona viewers??
Kweli Tena [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ahaha af wewe [emoji4][emoji3][emoji3][emoji3]
Kabisaaa Yaani..ila mi nampostigi bwana SEMA za ukweli[emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1][emoji3]...wakifanana na WA jirani atajua yeyee!!![emoji23][emoji23][emoji23] ni kupost siku after ndoa aisee, napo sio guarantee sana
Experience ipi?Kwa experience yangu wanaopost wapenzi wao hawajiamini
Wako-insecure n its like they are proving us wrong