binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Kwamba mufindi? Au siyo?
Kuna jamaa hapo juu anasema 30k ndiyo ya kubshana?😁 Harakati za mtu mweusi kujifariji na safari ya uchumi wa buluuu
Nimependa usimuliaji wako, kuna ile nyingine nimeagiza vinywaji vingi kwenye meza from nowhere Dem anakuja anachukua kinywaji anakunywa anajifanya amelewa haelewi 😁
View attachment 3018806
Au anapata vitumbua vingapi kwa afu tharathini?30k ndogo? 5k tu watu wanatoa utumbo nje Pesa ni Pesa usidharau Pesa, 30k ni Mchele kilo 15 ndogo HIO? Unakula na watu wangapi kwa siku ili umalize?
Hapana.Tupe Jina la bar tafadhali!
Siyo Mimi mkuu,mbona nimeiweka vema inaeleweka tu!?Pole sana mkuu ila ulifanya vyema
Yaan 30k anaichukulia poa hio wapo watu wanaisotea Wiki nzima mpaka siku 10 ili itimie per day 3k yeye anaichukulia POAAu anapata vitumbua vingapi kwa afu tharathini?
Jamaa aache dharau.
Ndicho kilichofanyika.Mhhh hiyo bar noma, ugomvi wa ME na KE mabaunsa huwa wanaamua bila kujali wamekosana nini.... maana anaweza umizwa mtu ikawa kesi mbaya kwa mwenye eneo pia.
Labda wachukuane wakagombane mbele sio ndani.
Mashamba ya chai mkuu!
Ukijaribu utatobolewa Jichokumbe ndo wanayopitia hayo,, afadhali sinywi kilevi chochote naepukana na mengi sana
sema we jamaa unapenda sana kudinyanaUkijaribu utatobolewa Jicho
Ipo Dar,Dodoma,?Hapana.
Kutaja Jina nitakuwa nakosea sana mkuu.
Umeniovertake mkuu😁
Nitakudinya tena usiwe na wasiwasisema we jamaa unapenda sana kudinyana
.Nitakudinya tena usiwe na wasiwasi