Wanawake mkiwa Bar acheni kuvamia meza za watu msiowafahamu

Wanawake mkiwa Bar acheni kuvamia meza za watu msiowafahamu

Mhhh hiyo bar noma, ugomvi wa ME na KE mabaunsa huwa wanaamua bila kujali wamekosana nini.... maana anaweza umizwa mtu ikawa kesi mbaya kwa mwenye eneo pia.

Labda wachukuane wakagombane mbele sio ndani.
Kwahyo ulikuwa unamaanisha hii ni chai mkuu..? Haha
 
Kuna bar moja niliwahi kuona hili tukio. Tena alikuwa mhudumu wa hiyo bar kala pombe na kutumiwa hela na dingi mmoja akajua dingi atakata moto. Mwisho wa siku ilibidi aende kuliwa mzigo maana kila mtu alimwambia ushakula ya watu toa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Mademu wanapenda sana pombe za bure ..unakuta pisi inakaa mburahati au mbagala ndani ndani ila ikifika bar ikipewa ofa inaagiza pombe za bei kali wakati mchana imeshindia ugali kwa vichwa na miguu ya kuku au utumbo.
Jamaniiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom