Wanawake mkiwa Bar acheni kuvamia meza za watu msiowafahamu

Kuna bar moja niliwahi kuona hili tukio. Tena alikuwa mhudumu wa hiyo bar kala pombe na kutumiwa hela na dingi mmoja akajua dingi atakata moto. Mwisho wa siku ilibidi aende kuliwa mzigo maana kila mtu alimwambia ushakula ya watu toa
 
dah kuna watu hawana aibu nikisikiliza wimbo wa ekotite unanikumbusha kitambo kidogo siku moja nipo singida (matembezi) kulikua na pub moja inaitwa rhode tulikua mtu tano sinywi pombe ila kampani yangu wanakunywa basi vinywaji vilijaa sana mezani cha ajabu alitokea dem anacheza huo wimbo anakuja kwenye meza anachukua beer anasepa kuna muda wana wakamlia timing wakaweka mkojo na dema akabugia tulisikia chupa ikitupwa na milio ya nokia
 
Umeniovertake mkuu😁
Kwa nini mnahisi kuwa hii ni chai wakuu?

Mbona haKuna signs zozote za kudanganya,au staili ya uwasilishaji ndiyo inafanya wewe na mwenzio Mbaga Jr muine chai?

Au itakuwa nyie siyo watu wa mitoko ya bar maana haya ni matukio ya kawaida sana kukutana nayo ukiwa mtu wa viwanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…