Wanawake mkiwa Bar acheni kuvamia meza za watu msiowafahamu

Demu akaagiza Heineken. Kimoyomoyo nikaguna nikasema β€œyani Mimi makunywa lite ya buku jero alafu huyu demu from nowhere anaibugia bia ya elfu 5!!? Fresh siyo kesi!! Akaagiza bia mbili.
Mademu magume gume walioshindikana na masingle maza hawanaga akili.

Yaani Bosi anakunywa Soda yeye anaagiza Wine ya elfu 15
Hapa unajua ndio maana aliachwa
 
Chai ipo vzr kasoro mdarasini tu hujaweka kabisa
 
Mademu wanapenda sana pombe za bure ..unakuta pisi inakaa mburahati au mbagala ndani ndani ila ikifika bar ikipewa ofa inaagiza pombe za bei kali wakati mchana imeshindia ugali kwa vichwa na miguu ya kuku au utumbo.
Ukiona hivyo ujua kichwani hakuna kitu, niliagiza demu aje Mwenge kutoka Boko, barabara ile haina foleni kabisa na ukipanda Dala dala ni mwenzo wa dakika 30 au 45 tu unakuwa umefika.

Akasema hana nauli nikatuma elf 15.

Huku akijua hata nyumbani kwake hana umeme na hana hata kilo ya unga yeye akakodi BajajiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

15K ikakatika wakati angetumia buku tu na elfu 14 akachili nazo.

Baadae wakati wa kuondoka akaomba tena nauli ya bajaji akapanda nikamlipa Bajaji pale pale.

Alipofika nyumbani ananiambia hana elfu tano ya umeme.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na ukishajenga mahusiano na wahudumu tegemea usumbufu tu

Ova
Chenji hawarudishiπŸ˜…πŸ˜… bado hawajakuomba hela ya bia..

Kingine wanamtindo wa kuja kukaa na wewe ukiagiza Bia na yeye anaweka makao hapo mpige story mie huwa siwez kuvumilia namnunulia hata mbili tatu anywe na yeye.
 
Sasa wakati tutaendelea na kupata vinywaji,demu alikuwa bize sana na simu,hata stori na Mimi alikata kabisa.

Ghafla akaniambia β€œkaka, samahani Nina dharula nasepa zangu. Asante kwa bia.”
Ujinga mwingine....hata stori hana anakuona kama Boya tu.
 
Kichwa maji huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…