Wanawake mkiwa mnatuacha angalieni na maneno ya kutuambia

Wanawake mkiwa mnatuacha angalieni na maneno ya kutuambia

Mwanakulipata

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2018
Posts
714
Reaction score
1,193
Kuachana, kuachwa na kuacha kupo kwenye mahusiano na ni kitu cha kawaida, ila wanawake mkiwa mnawaacha wanaume angalieni na maneno ya kuwaambia.

Wengi mnatumia maneno makali ambayo yatafanya mtu aumie kisaikolojia... “Mambo hubadilika, Usinene ukamara” Hii haijanitokea mimi nikuta twita

IMG_20220122_194059.jpg

Kuachana, kuachwa na kuacha kupo kwenye mahusiano na ni kitu cha kawaida, ila wanawake mkiwa mnawaacha wanaume angalieni na maneno ya kuwaambia

Wengi mnatumia maneno makali ambayo yatafanya mtu aumie kisaikolojia...

“Mambo hubadilika, Usinene ukamara”

Wako mtiifu
View attachment 2092023
Ukweli mchungu[emoji23][emoji23]
 
Kuachana, kuachwa na kuacha kupo kwenye mahusiano na ni kitu cha kawaida, ila wanawake mkiwa mnawaacha wanaume angalieni na maneno ya kuwaambia

Wengi mnatumia maneno makali ambayo yatafanya mtu aumie kisaikolojia...

“Mambo hubadilika, Usinene ukamara”

Wako mtiifu
View attachment 2092023
Yaleyale ya huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni🤣🤣🤣🤣🤣sema tuu kaamua kutumia lugha ya malkia
 
Kuachana, kuachwa na kuacha kupo kwenye mahusiano na ni kitu cha kawaida, ila wanawake mkiwa mnawaacha wanaume angalieni na maneno ya kuwaambia

Wengi mnatumia maneno makali ambayo yatafanya mtu aumie kisaikolojia...

“Mambo hubadilika, Usinene ukamara”

Wako mtiifu
View attachment 2092023
[emoji2305] daah ... Tafta sana pesa
 
Kwahiyo ni bora akuache kimya kimya bila kukuambia sababu? Binafsi naona anayekuambia sababu anakusaidia ama kujirekebisha au kuongeza bidii katika eneo lenye udhaifu.
 
Aiseee ukweli mchungu unaouma[emoji3064] any way kila mtu ana ndoto zake bora amekwambia ukweli sasa kuliko uje ukutane na songombingo ndani ya ndoa

Ila pole
Teacher kapigwa na kitu kizito maskini.
Hayo maneno yanatakiwa yamuume kwelikweli ili ajiongeze katika kutanua wigo wa kipato chake kisha baadae anaweka mikakati ya kwenda kumuoa mdogo ake huyo ex wake.
 
Kuachana, kuachwa na kuacha kupo kwenye mahusiano na ni kitu cha kawaida, ila wanawake mkiwa mnawaacha wanaume angalieni na maneno ya kuwaambia

Wengi mnatumia maneno makali ambayo yatafanya mtu aumie kisaikolojia...

“Mambo hubadilika, Usinene ukamara”

Hii haijanitokea mimi nikuta twita
View attachment 2092023
A game of karma is so sweet
 
Unahisi wakati anadate nae alikuwa hajui ni mwalimu au ndoto zake?Basi tu kapata mwenye nazo ndio maana anakuja na hizo sababu.But trust me anasema hivyo ila moyoni anahofu ipo siku anakoenda patakuwa pachungu na atamkumbuka huyo mtu.Vitu hubadilika tafuta hata uongo wa kumdanganya mtu maana kesho unaweza mkuta sehem nyingine ukaaibika
 
Back
Top Bottom