OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hilo ni jambo la kushukuru sio kulaumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora uzabzab kuliko matusi kama hayoacha uzabzab
Walimu tuna hali ngumu..daah huyu mwanamke katuchana ile ukweli wala hajapepesa maneno..lawama zote kwa ccm.Kuachana, kuachwa na kuacha kupo kwenye mahusiano na ni kitu cha kawaida, ila wanawake mkiwa mnawaacha wanaume angalieni na maneno ya kuwaambia
Wengi mnatumia maneno makali ambayo yatafanya mtu aumie kisaikolojia...
“Mambo hubadilika, Usinene ukamara”
Hii haijanitokea mimi nikuta twita
View attachment 2092023
Hakuna karma hapo. Ni malengo, priorities na uchaguzi kama ambavyo sisi wanaume tunapenda wanawake wenye matako, hips, sura na weupe nao wana options zao.A game of karma is so sweet
Sio walimu tu, watumishi katika kada nyingi wanachukua take home isiyozidi 900k,.Walimu tuna hali ngumu..daah huyu mwanamke katuchana ile ukweli wala hajapepesa maneno..lawama zote kwa ccm.
#MaendeleoHayanaChama
Kuachana, kuachwa na kuacha kupo kwenye mahusiano na ni kitu cha kawaida, ila wanawake mkiwa mnawaacha wanaume angalieni na maneno ya kuwaambia
Wengi mnatumia maneno makali ambayo yatafanya mtu aumie kisaikolojia...
“Mambo hubadilika, Usinene ukamara”
Hii haijanitokea mimi nikuta twita
View attachment 2092023
🤣🤣🤣🤣Mimi kama graduate wa BSc with Education (Chemistry and Biology) nalaani kitendo cha huyo bibie kudharau kada mwenzangu katika taaluma. Hivyo basi naamuru huyo mwanamke atafutwe haraka sana atafsiri hizo meseji zake kwa kiswahili ili zimuingie vizuri mlengwa.
🤣🤣🤣
Teacher kapigwa na kitu kizito maskini.
Hayo maneno yanatakiwa yamuume kwelikweli ili ajiongeze katika kutanua wigo wa kipato chake kisha baadae anaweka mikakati ya kwenda kumuoa mdogo ake huyo ex wake.
Mm nawashanga sna watu mm nilishwai tjirika kwa take home ya 650 nawashangah sna wanobeza mishara ya MalakiSio walimu tu, watumishi katika kada nyingi wanachukua take home isiyozidi 900k,.
In short, kuajiriwa kwa asilimia mia kubwa ni kujihakikishia haulali na njaa tu ila maendeleo inabidi ujiongeze