Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Dua la kuku halimpati chui wa kikeMademu wa hivi huishiaga pabaya...siku unakutana nae kapauka na kiingereza kasahau[emoji2960][emoji2960]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dua la kuku halimpati chui wa kikeMademu wa hivi huishiaga pabaya...siku unakutana nae kapauka na kiingereza kasahau[emoji2960][emoji2960]
Penye mafanikio mala zote yupo mwanamke sasa mwanamke uyo uoni kama yy kakimbia harakat za mafanikio means kapata mahali pengneBnt wala hajakosea, lkn pia kila mtu anataman kuish maisha mazr na s kuish ish tuu. Na n uamuz mwema aliouchukua kama amepata yule wa ndto yake s mbaya.
Na pia ujifunze maana amekuambia nn shda mpk kakuacha, s kama wengne wanaondka kimya kimya....fanyia kaz maneno yake wala usmchukie, kila mtu anavpaumbele vyake uswe mbinafsi. [emoji4]
vijana tafuteni pesa.Kuachana, kuachwa na kuacha kupo kwenye mahusiano na ni kitu cha kawaida, ila wanawake mkiwa mnawaacha wanaume angalieni na maneno ya kuwaambia.
Wengi mnatumia maneno makali ambayo yatafanya mtu aumie kisaikolojia... “Mambo hubadilika, Usinene ukamara” Hii haijanitokea mimi nikuta twita
kauli za watu mafukara katika namna ya kujifariji.
Sio kweli, muone alichoshika fukara mwenye sasakauli za watu mafukara katika namna ya kujifariji.![]()
nilidhani unaweka screenshot ya account yako binafsi ya bank ikionyesha miala yako ya fedha za kitanzania zinayoingia na kutoka.Sio kweli, muone alichoshika fukara mwenye sasaView attachment 2092674
Ushambani huunilidhani unaweka screenshot ya account yako binafsi ya bank ikionyesha miala yako inayoingia na kutoka.
kushika it's something very simple. hata mimi naweza nika-download picha kutoka google ikionyesha pesa za madafu zikiwa zimeshikwa. kubari tu kuwa wewe ni fukara, usikasirike.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]View attachment 2092695
Yaleyale ya huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sema tuu kaamua kutumia lugha ya malkia
Wanaume hatu gugu pesa za watu mitandaoninilidhani unaweka screenshot ya account yako binafsi ya bank ikionyesha miala yako ya fedha za kitanzania zinayoingia na kutoka.
kushika it's something very simple. hata mimi naweza nika-download picha kutoka google ikionyesha pesa za madafu zikiwa zimeshikwa. kubari tu kuwa wewe ni fukara, usikasirike.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]View attachment 2092695
acha porojo, weka screenshot ya account yako ya bank tuone miala yako ili nisikuite mtu fukara.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaleyale ya huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sema tuu kaamua kutumia lugha ya malkia
Mtanange uendeleeacha porojo, weka screenshot ya account yako ya bank tuone miala yako ili nisikuite mtu fukara.
hivi punde nimetumia app ya crdb bank ku request full bank statement ya account yangu, tayari wameshanitumia pdf document kwenye email yangu.
ni suala la mimi tu kuweka hapa jf au nipotezee.
wanaume halisi hawajivunii vipesa vichache vya kupigia picha, wanajivunia miala inayofanyika kwenye account zao na salio liliopo.
mzigo huu hapa.
View attachment 2092715
tayari kashasanda.Mtanange uendelee
Unahisi wakati anadate nae alikuwa hajui ni mwalimu au ndoto zake?Basi tu kapata mwenye nazo ndio maana anakuja na hizo sababu.But trust me anasema hivyo ila moyoni anahofu ipo siku anakoenda patakuwa pachungu na atamkumbuka huyo mtu.Vitu hubadilika tafuta hata uongo wa kumdanganya mtu maana kesho unaweza mkuta sehem nyingine ukaaibika
Hao walimu wa zamani, sio hawa walimu wa siku hiziTena heshimu sana walimu. Kesho unaweza kuta ni Waziri au hata Rais. Historia imeonyesha hivyo (Nyerere, Mwinyi, Magufuli, Majaliwa, Jennister Mhagama, nk.).