Wanawake mkiwa mnatuacha angalieni na maneno ya kutuambia

Wanawake mkiwa mnatuacha angalieni na maneno ya kutuambia

Kwahiyo ni bora akuache kimya kimya bila kukuambia sababu? Binafsi naona anayekuambia sababu anakusaidia ama kujirekebisha au kuongeza bidii katika eneo lenye udhaifu.
Mwanzo alivyokuwa nae hakuona hiyo hali na si angemwambia tokea mwanzo aongezee bidii...wanawake wakiwa hawakupendi lolote wanaweza kukufanyia hata kukuua[emoji23]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] anajiona mjanja kwa kupata danga ila akitoswa hapo hamna rangi ataacha ona! Mabingwa wakuomba sorry mrudiane

IMG_0988.jpg

poleni mno [emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Kuachana, kuachwa na kuacha kupo kwenye mahusiano na ni kitu cha kawaida, ila wanawake mkiwa mnawaacha wanaume angalieni na maneno ya kuwaambia

Wengi mnatumia maneno makali ambayo yatafanya mtu aumie kisaikolojia...

“Mambo hubadilika, Usinene ukamara”

Hii haijanitokea mimi nikuta twita
View attachment 2092023
Huyo anabwabwaja maneno hayo, usikute jamaa anaemwambia maneno hayo ameahampiga pipe Vya kutosha aisee, sasa kipindi hicho alichokua anapelekewa moto alikua hajui Kama Jamaa hana na ni Mwalim , umempata mwenye vijisent anaanza dharau aisee, sasa siku akizipata pesa zake mwenyewe itakuwaje
 
OK .

Bidada ni MTU anayetaka maisha makubwa ambayo yeye hayasumbukii Bali analetewa .

Kwa ivo, kila MWANAUME aliyena pesa kumpita Mwanaume aliyenaye, ATAMLA.

Bidada hatoingia kwenye Ndoa sababu ya mapenzi na familia, Bali ana MTU anayempa Kila kitu .

KWA UFUPI... AMEFANYA VIZURI KUKUAMBIA, NA HIVO, USIMSHIKILIE, RUHUSU NA MUACHE AENDE KUTAFUTA WA SAIZI YAKE.

on the other hand, Amekufundisha wewe mwanaume kua, USIISHIE KUTEGEMEZA AKILI YAKO KWENYE MSHAHARA HUO UTAOTOKANA NA KAZI YA UALIMU TU..BALI ANGALAU FUNGUA KICHWA, UWAZE BIASHARA ,ILI UWE NA VYANZO VYA MAPATO.

hata ivo, HAKUFAI .
 
Mademu wa hivi huishiaga pabaya...siku unakutana nae kapauka na kiingereza kasahau[emoji2960][emoji2960]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom