Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 714
- 1,193
Ukweli mchungu[emoji23][emoji23]Kuachana, kuachwa na kuacha kupo kwenye mahusiano na ni kitu cha kawaida, ila wanawake mkiwa mnawaacha wanaume angalieni na maneno ya kuwaambia
Wengi mnatumia maneno makali ambayo yatafanya mtu aumie kisaikolojia...
“Mambo hubadilika, Usinene ukamara”
Wako mtiifu
View attachment 2092023
Yaleyale ya huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni🤣🤣🤣🤣🤣sema tuu kaamua kutumia lugha ya malkiaKuachana, kuachwa na kuacha kupo kwenye mahusiano na ni kitu cha kawaida, ila wanawake mkiwa mnawaacha wanaume angalieni na maneno ya kuwaambia
Wengi mnatumia maneno makali ambayo yatafanya mtu aumie kisaikolojia...
“Mambo hubadilika, Usinene ukamara”
Wako mtiifu
View attachment 2092023
[emoji2305] daah ... Tafta sana pesaKuachana, kuachwa na kuacha kupo kwenye mahusiano na ni kitu cha kawaida, ila wanawake mkiwa mnawaacha wanaume angalieni na maneno ya kuwaambia
Wengi mnatumia maneno makali ambayo yatafanya mtu aumie kisaikolojia...
“Mambo hubadilika, Usinene ukamara”
Wako mtiifu
View attachment 2092023
[emoji23][emoji23]Yaleyale ya huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sema tuu kaamua kutumia lugha ya malkia
Ndioo maana dawa yenu ni moja tuu....kugegeda mara tatu na kusepa zakoSilaha yetu wanawake huwa ni mdomo yaani maneno hata kama ni ya kuandika.
Na hatupendi kushindwa. Hivyo basi tunasemaga tunachojua kitawaumiza ili tujipe moyo sisi ndo tumewaacha.
Teacher kapigwa na kitu kizito maskini.Aiseee ukweli mchungu unaouma[emoji3064] any way kila mtu ana ndoto zake bora amekwambia ukweli sasa kuliko uje ukutane na songombingo ndani ya ndoa
Ila pole
A game of karma is so sweetKuachana, kuachwa na kuacha kupo kwenye mahusiano na ni kitu cha kawaida, ila wanawake mkiwa mnawaacha wanaume angalieni na maneno ya kuwaambia
Wengi mnatumia maneno makali ambayo yatafanya mtu aumie kisaikolojia...
“Mambo hubadilika, Usinene ukamara”
Hii haijanitokea mimi nikuta twita
View attachment 2092023
Acha uzabzabNdioo maana dawa yenu ni moja tuu....kugegeda mara tatu na kusepa zako