Wanawake mkiwa mnatuacha angalieni na maneno ya kutuambia

Daaaa!! uyo kapata jimbo jingine lenye raslimali nyingi kk[emoji4]
 
Bnt wala hajakosea, lkn pia kila mtu anataman kuish maisha mazr na s kuish ish tuu. Na n uamuz mwema aliouchukua kama amepata yule wa ndto yake s mbaya.

Na pia ujifunze maana amekuambia nn shda mpk kakuacha, s kama wengne wanaondka kimya kimya....fanyia kaz maneno yake wala usmchukie, kila mtu anavpaumbele vyake uswe mbinafsi. [emoji4]
 
Penye mafanikio mala zote yupo mwanamke sasa mwanamke uyo uoni kama yy kakimbia harakat za mafanikio means kapata mahali pengne
 
vijana tafuteni pesa.
 
Sio kweli, muone alichoshika fukara mwenye sasaView attachment 2092674
nilidhani unaweka screenshot ya account yako binafsi ya bank ikionyesha miala yako ya fedha za kitanzania zinayoingia na kutoka.

kushika it's something very simple. hata mimi naweza nika-download picha kutoka google ikionyesha pesa za madafu zikiwa zimeshikwa. kubari tu kuwa wewe ni fukara, usikasirike.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]
 
Ushambani huu
 
Wanaume hatu gugu pesa za watu mitandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume hatu gugu pesa za watu mitandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
acha porojo, weka screenshot ya account yako ya bank tuone miala yako ili nisikuite mtu fukara.

hivi punde nimetumia app ya crdb bank ku request full bank statement ya account yangu, tayari wameshanitumia pdf document kwenye email yangu.

ni suala la mimi tu kuweka hapa jf au nipotezee.

wanaume halisi hawajivunii vipesa vichache vya kupigia picha, wanajivunia miala inayofanyika kwenye account zao na salio liliopo.

mzigo huu hapa.
 
Yaleyale ya huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sema tuu kaamua kutumia lugha ya malkia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtanange uendelee
 
Mtanange uendelee
tayari kashasanda.
uzuri wa bank statement ya account mtu ni issue very privacy kwasababu inabeba information nyingi muhimu za mwenye account, ndio maana huwezi kudownload kutoka google kama unavyo download picha ya pesa za kitz zikiwa zimeshikwa.

nasubiri atimize request yangu ili na mimi niachie pdf ya bank statement yangu hapa jf.
 
Tena heshimu sana walimu. Kesho unaweza kuta ni Waziri au hata Rais. Historia imeonyesha hivyo (Nyerere, Mwinyi, Magufuli, Majaliwa, Jennister Mhagama, nk.).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…