sweetapple
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 533
- 461
Mmmh..Nyie watu naomba muoane.Ndoa itakuwa taamu.mana wote MNA mlengo mmoja wa kushoto.achana nao hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh..Nyie watu naomba muoane.Ndoa itakuwa taamu.mana wote MNA mlengo mmoja wa kushoto.achana nao hao
Leo mmejua kutuamulia
Aiseehiyo avatar naipenda jamani,,ungekua ndo mke wangu sijui ingekuaje
Kama kwangu wameweza kusema watashindwa kusema na kwingine?Sasa yakiwazidia wasiseme?
Na umejuaje wanaropoka na kwa wengine?
Sio kila anaekwambia jambo udhani atamwambia na mwingineKama kwangu wameweza kusema watashindwa kusema na kwingine?
Inaumiza kweli lakini kutoa siri na kugawa kibunye hovyo kisa mume akutimizii. Kaa na mume mweleza ukweli, na kutafuta njia ya kuondoa tatizo.Ila kiukweli utavumilia mapungufu ila yakutokupata mgegedo kwa mwezi mzima na nipo na jamaa ndani kiukweli inaumiza
Valentina, wengi waropokaji tu , ukizichunguza sana ndoa nyingi zinazovunjika utaona, zimekosa sifa ya kutangamana, uadilifu na mwishowe kukosekana silika nzuri kwa kila mmoja wao.Sio kila anaekwambia jambo udhani atamwambia na mwingine
Wewe ni mtoto wa kike? Basi kichwani mwako unamatizo hauko salama . uwezi tukana watu wazima bila aibu. Kuwa na adabu bintiSo?[emoji14] [emoji14] [emoji14] Muone Dr. mandai uondoe aibu kijana ili uache kututolea povu lisilo faida, Tumekupima kina kwa kidole cha Mwisho [emoji23] [emoji108]
Lipi tusi hapo Mkuu [emoji1] [emoji1] [emoji1] mbona halijawekewa ***** maneno yoote yanasomeka, sasa iweje liwe tusiWewe ni mtoto wa kike? Basi kichwani mwako unamatizo hauko salama . uwezi tukana watu wazima bila aibu. Kuwa na adabu binti
Hivi wewe na "MR Natafuta" ni ndugu, eti eeeh?😀😉wanakueleza ili uwafanyeje? na wewe jiongeze hapo
HAHAHAHAH!Ukitaka kufa kabla ya siku zako au upate kilema cha maisha.
Tembea na mke wa mtu. Hata huo uume unaoringia unaweza usisimame milele
Nimecheka sana.Aaah umeharibu mkuu [emoji23] [emoji23] asili ya chumvi ya mawe ikimung'unyuka hutoa maji, kumbe mnachangia kuleta ma bwawa
Wewe! Mungu anakuona ujue.USHAWAHI KUWA NA DEMU MWEMBAMBA ADI UKIENDA NAE KLABU BAUNSA ANASEMA ATURUHU KUINGIA NA MIWA
Kaja kukueleza kwakuwa amekuona unaweza kumshauri cha maana na walikuamini, sio na wewe kuyabeba na kuyatangaza.Valentina, wengi waropokaji tu , ukizichunguza sana ndoa nyingi zinazovunjika utaona, zimekosa sifa ya kutangamana, uadilifu na mwishowe kukosekana silika nzuri kwa kila mmoja wao.
Ha ha ha ha atoto bhana, kwani umeona nimewataja majina yao, nimesema kama fundisha kwa wenye tabia kama hii waache. Mbona mimi mtu poa tu, tena mwenye busara sana ndio maana wakaniamini na kunieleza vya sirini. Kosa kama ningewataja majina yao lakin siwezi kufanya hivyo, na kuna wengine wamekuja Pm kibao mbona sijawasema hapa.Kaja kukueleza kwakuwa amekuona unaweza kumshauri cha maana na walikuamini, sio na wewe kuyabeba na kuyatangaza.
Kuweka sana vitu kifuani unaweza kuburst, hivyo ni vyema ukayatoa ila ndio inategemea unayatoa kwa nani.
Bora hata wangeyasema kwenye chungu.
Sasa kama walikuamini na wakakueleza wewe ili uwashauri tatizo liko wapi? Au we ulitaka wafanyaje?Ha ha ha ha atoto bhana, kwani umeona nimewataja majina yao, nimesema kama fundisha kwa wenye tabia kama hii waache. Mbona mimi mtu poa tu, tena mwenye busara sana ndio maana wakaniamini na kunieleza vya sirini. Kosa kama ningewataja majina yao lakin siwezi kufanya hivyo, na kuna wengine wamekuja Pm kibao mbona sijawasema hapa.