Wanawake mlio kwenye ndoa badilikeni, mnachokifanya mnadhalilisha sana waume zenu.

Sasa yakiwazidia wasiseme?

Na umejuaje wanaropoka na kwa wengine?
 
Ila kiukweli utavumilia mapungufu ila yakutokupata mgegedo kwa mwezi mzima na nipo na jamaa ndani kiukweli inaumiza
 
Inaumiza kweli lakini kutoa siri na kugawa kibunye hovyo kisa mume akutimizii. Kaa na mume mweleza ukweli, na kutafuta njia ya kuondoa tatizo.
 
Sio kila anaekwambia jambo udhani atamwambia na mwingine
Valentina, wengi waropokaji tu , ukizichunguza sana ndoa nyingi zinazovunjika utaona, zimekosa sifa ya kutangamana, uadilifu na mwishowe kukosekana silika nzuri kwa kila mmoja wao.
 
So?[emoji14] [emoji14] [emoji14] Muone Dr. mandai uondoe aibu kijana ili uache kututolea povu lisilo faida, Tumekupima kina kwa kidole cha Mwisho [emoji23] [emoji108]
Wewe ni mtoto wa kike? Basi kichwani mwako unamatizo hauko salama . uwezi tukana watu wazima bila aibu. Kuwa na adabu binti
 
Lipi tusi hapo Mkuu [emoji1] [emoji1] [emoji1] mbona halijawekewa ***** maneno yoote yanasomeka, sasa iweje liwe tusi
 
Kwani we unafanya kazi kituo cha kurekebisha ndoa za watu?
 
Valentina, wengi waropokaji tu , ukizichunguza sana ndoa nyingi zinazovunjika utaona, zimekosa sifa ya kutangamana, uadilifu na mwishowe kukosekana silika nzuri kwa kila mmoja wao.
Kaja kukueleza kwakuwa amekuona unaweza kumshauri cha maana na walikuamini, sio na wewe kuyabeba na kuyatangaza.
Kuweka sana vitu kifuani unaweza kuburst, hivyo ni vyema ukayatoa ila ndio inategemea unayatoa kwa nani.
Bora hata wangeyasema kwenye chungu.
 
Ha ha ha ha atoto bhana, kwani umeona nimewataja majina yao, nimesema kama fundisha kwa wenye tabia kama hii waache. Mbona mimi mtu poa tu, tena mwenye busara sana ndio maana wakaniamini na kunieleza vya sirini. Kosa kama ningewataja majina yao lakin siwezi kufanya hivyo, na kuna wengine wamekuja Pm kibao mbona sijawasema hapa.
 
Sasa kama walikuamini na wakakueleza wewe ili uwashauri tatizo liko wapi? Au we ulitaka wafanyaje?
 
Back
Top Bottom