Wanawake mliofika 30+ acheni kutusumbua sisi washamba tunaovaa mashati ya vitenge na suruali za vitambaa

Ulaya mabinti wanamsemo wao ambao wana uamini nice guys finish last.

Unakuta demu anamkataa mtu kisa hajui kupiga pamba,hana swaga,mara hupaki marashi mazuri nk,halafu unakuta mwamba zile sifa za kibaba za kubeba msalaba wa familia kwa kuwapa mahitaji yao ya msingi anao.

Halafu wanaenda kuangukiaga kwa wahuni tu type za kina Hemed Phd au muhuni wa kitaa na wanawajua kabisa kwamba pale ni chapa ilale na yy anajipeleka palepale.
 
Hahahahaha
 
Ukisema huenda hapo ni unabahatisha, na haitakiwi iwe hivyo kwa mtu wa kuishi nae, be sure kuwa huyu mtu ananifaa kwa vigezo vyangu
 
Sema hilo pigo halijakuacha salama mkuu kila sehemu una comment kuachika mara mahakamani kesi, pole man ebu potezea unavoongelea sana hv unazidi tonesha kidonda
 
Kwani mwenye 30+ hafai kuolewa?
Kama ilivyo kwenye ajira kutakiwa kuwa na uzoefu, mwanamke mwenye 30+ni ana uzoefu mkubwa wa kuhimili mikiki ya Mahusiano, hivyo anafaa kuwa mke (maoni yangu).
Hayo kweli ni maoni yako, kadri mwanamke anavyopita mikononi mwa wanaume wengi ndivyo anavyopunguza heshima kwa mwanaume, ashakutana na mwanaume wa kila aina hao tunaita bed to bed midfielder
 
Sema hilo pigo halijakuacha salama mkuu kila sehemu una comment kuachika mara mahakamani kesi, pole man ebu potezea unavoongelea sana hv unazidi tonesha kidonda
You have seen right through me. Mkuu hili kwangu ni jeraha kaka sikulitegemea na honestly sina experience ya ku navigate through. Sijajua bado nitapona vipi na nitatoka vipi ili nirud kawaida kihisia. Kaniacha sikua nategemea na kiukwel najitahid sana kumsahau ila najua haiwez kuwa rahis, for real nahitaji msaada kuhusu hili. Namuwaza yeye nawawaza watoto wangu aliowachukua, japo sasa ni 35 days toka niamue kujikaza kutompigia simu wala kumtumia sms, ila honestly, nateketea inside.😒😭😭😭😭😭
Japo naamini nitazoea ila sijui itakua lini
 
Haya mkuu hebu Pitia na hapa

Thread 'Njia ambazo mwanamke asiependeka huwa anazitumia kupata mwanaume mwema sana kisha anampiga matukio' Njia ambazo mwanamke asiependeka huwa anazitumia kupata mwanaume mwema sana kisha anampiga matukio
Achana na hayo maelezo mengi, mwanaume wewe ndio prize na unatakiwa ujue thamani yako, tatizo jamii ya sasa inajenga wanaume legelege wanaoamini katika kumfanyia mwanamke mambo mengi kwa kujifanya gentlemen, wanaume wasioweza kufanya maamuzi magumu yakiwemo ya kuchukua wanawake wazee na masingomama, uzuri wake wanakujaga kulialia humu na tunawaona
 
Uliwekeza hisia zako kwake, haujui kuwa unatakiwa uishi nao kwa akili, ishi na mwanamke usimpe assurance kuwa utakuwa nae miaka yote, don't be predictable, tatizo vijana sikuhizi hata kuwapiga vibao wake zenu hamuwezi mnawajali sana wake zenu kuliko mnavyojijali na mwanamke akishagundua hilo tu umekwisha
 
Kwangu mimi kikubwa ni financial wellbeing baaaas, hayo mengine akitaka kuondoka (if I were married) aende zake tu..
 
Kwangu mimi kikubwa ni financial wellbeing baaaas, hayo mengine akitaka kuondoka (if I were married) aende zake tu..
Ni kweli, na kuna mpenyo flan ninaouna kwenye mishe zangu toka aondoke, ni kama kanifungulia njia na mambo yanaanza kwenda kasi ila bado mke ni mke kaka, imagine mmezaa na mko 15 yrs kwenye ndoa, haiwez kuwa rahis ku cope na hali ,ni ngumu mnoo. But najitahid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…