joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Ulaya mabinti wanamsemo wao ambao wana uamini nice guys finish last.Wakati mpo wabichi wa miaka 19 mpaka 24, Sisi mlituona washamba.
Sisi mlituona hatuna swagger za watoto wa mjini.
Sisi mlituona tupo kama wazee wa kale.
Sisi mlituona tupo kama walimu wa vijijini.
Sasa kwanini mnatusumbua jua likiwa tayari limezama?? Shida ni nini?? Kwani wale wajanja wavaa raba, jinsi na t-shirts kali mliokuwa mnawapapatikia, kipi kimewatokeeni??
Leo hii wavaa vitenge ndio wamekuwa retirement plan baada ya kufanya um@laya wenu na K kuchakaa, eti??
Hayo magonjwa mliyoyaokota huko, mimi niyapeleke wapi??
Unakuta demu anamkataa mtu kisa hajui kupiga pamba,hana swaga,mara hupaki marashi mazuri nk,halafu unakuta mwamba zile sifa za kibaba za kubeba msalaba wa familia kwa kuwapa mahitaji yao ya msingi anao.
Halafu wanaenda kuangukiaga kwa wahuni tu type za kina Hemed Phd au muhuni wa kitaa na wanawajua kabisa kwamba pale ni chapa ilale na yy anajipeleka palepale.