Wanawake mliofika 30+ acheni kutusumbua sisi washamba tunaovaa mashati ya vitenge na suruali za vitambaa

Mkuu endelea kukaza, mpe muda atakuja kujirudi tu huyo, ukimtafuta kwa sasa utapoteza zaidi.
 
Anguko la mwanamme huletwa na mwanamke, maisha unayopitia wewe mimi nmeshayashuhudia sana.

Jaribu kuupa muda nafasi, muda utahukumu wenyewe kila kitu.
 
huyu niliyemwelezea akiwa 24 alipata mtu ako na 36 alifiwa na mke ana two kids, mpaka mahari akamlipia, ila akamtenda akaenda kwa mlamba lips same age akammimba na kutokomea kusikojulikana, ndo yanayomkuta kwa sasa, hata hajifunzi.
 
Mi mwendo wa kitenge na mabatiki mpk baaasi!! Mpk siti za gari ni macover ya kitenge Tu, suruali yangu kubwa hv napandisha tumboni kidogo chini kiatu changu mkuki moyoni!

Hawa wamama 30+ mpk wanabubujikwa na michozi 😁😁😁
 
huyu niliyemwelezea akiwa 24 alipata mtu ako na 36 alifiwa na mke ana two kids, mpaka mahari akamlipia, ila akamtenda akaenda kwa mlamba lips same age akammimba na kutokomea kusikojulikana, ndo yanayomkuta kwa sasa, hata hajifunzi.
sasa 36 alikuwa hajui mamboo walamba lipsi wakikuongelesha unasikia hamu ya mapenzi licha akuombee unaachia tu hadi mimba yule alikuwa na kibamia na hajulii kukitumia mwanamke akaona mlamba lipsi nafuu kunyweni dawa za asili muwe madume acheni kujilegezea ikute hana hata hela mlamba mdomo alikuwa anamtoa out .

Mlamba lipsi atarudi tu kulelea mwanae ameenda kudanga apate pesa
 
Wasamehe Mkuu, watu hujifunza kutokana na makosa wape self golden chance ili uwaondolee sonona
Uwaondolee sonona na vioungo vya uzazi vimechakaa kutokana na abortions zisizo na idadi, kuliwa MIXX BY Yas, Kunyonya sana mb.oo.

Yaaani full uchakavu..
 
Uwaondolee sonona na vioungo vya uzazi vimechakaa kutokana na abortions zisizo na idadi, kuliwa MIXX BY Yas, Kunyonya sana mb.oo.

Yaaani full uchakavu..
Time heals wound. Watakuwa wamepata fundisho kuwa haya maisha hayataki kujiachia kuna kuumia. Wasamehe na wafariji ikiwezekana washauri watoke sehemu iliyozoeleka waende sehemu nyingine na wakatulie huenda huko watapata wenza.

Cc: Madam Hannah
 
Ms Aaliyyah. Mungu anakuona 🀣🀣🀣

Mimi namtuliza hasira kijana Mangi hapa na wewe una react kwa kunicheka? 🀣🀣🀣
 
Achana nao mkuu kama wanakupapatikia halafu unaona washaenda sana mileage washauri watoke walipo waende sehemu nyingine wakatulie huenda wakapata wenzi wapya
Sawa mkuu ila wakiwa 18-24 wana nyodo hao balaa. Sisi wavaa mashati ya vitenge kwa kweli tunanyanyasika sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…