You have seen right through me. Mkuu hili kwangu ni jeraha kaka sikulitegemea na honestly sina experience ya ku navigate through. Sijajua bado nitapona vipi na nitatoka vipi ili nirud kawaida kihisia. Kaniacha sikua nategemea na kiukwel najitahid sana kumsahau ila najua haiwez kuwa rahis, for real nahitaji msaada kuhusu hili. Namuwaza yeye nawawaza watoto wangu aliowachukua, japo sasa ni 35 days toka niamue kujikaza kutompigia simu wala kumtumia sms, ila honestly, nateketea inside.😢😭😭😭😭😭
Japo naamini nitazoea ila sijui itakua lini