Wanawake mliofika 30+ acheni kutusumbua sisi washamba tunaovaa mashati ya vitenge na suruali za vitambaa

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚We akili zako mbovu sana
 
Hapa ndio napopenda mie, wanawake ujanja wote mwisho 28.
Akishagusa 29 anaanza kupanjc. Yupo mmoja hapa ni 29 anajua nina ngoma lakini anasema wee mzabzab nioe tuu
πŸ˜‚πŸ˜‚Ila wewe
 
🀣Golden chance walikuwa nayo between 18-23 hapo. Hii ya 30 years old ni free delivery
Kimsingi Mchagga Juniya katema nyongo. Wahenga walishasema majuto ni Mjukuu Wacha waendelee kuringa ila majuto yatawakuta tuuu 🀣🀣🀣
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… 99% wanao wachakaza hawawaoi
 
Mbona kazini wwnchukuliwa wenye uzoefu Ila kwenye ndoa hamtaki wenye uzoefuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kwenda huko na kitenge chako cha soso cha makambi
 
Mimi Bado sokolangu halijawa gumu sanaπŸ˜‚πŸ˜‚ rafikizangu Wana watoto 2 au 3 washaolewa na kuachika wengine washaolewa Tena
Kama target ni ndoa za kusitiriana kusogeza siku basi upo sahihi, ila kama ni ndoa zenye afya na zenye futuristic plans bado ni zoezi gumu.

Mtu anayoea mwanamke mwenye mtoto au watoto zaidi ya mmoja namchukulia kama ana tatizo mahali
 
Ila wanaume wakiwa JF wanajifanya wanapondaaa Ila wakija mtaani sasa ni mishangazi full

Ngoja ninyamaze nisiseme sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…