Wanawake mliofika 30+ acheni kutusumbua sisi washamba tunaovaa mashati ya vitenge na suruali za vitambaa

Sasa Ushoga umeingiaje hapa? Mbona ni nje ya mada?
 
Kupenda huko jamani. Usicheze na mapendo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo Anti mwenyewe pale analea kibenten, kaamua kutafuta kiben ten kimzalishe basi apate watoto maana umri umeshaenda,lakini pale hamna baba mtunzaji na mleaji wa familia. Kama Vera Sidika kwa Brown Mauzo,Wema kwa Wozu,utakuta wamehangaika kutafuta ndoa wakaamua tu kutafuta vijana wa kuzaa nao.
 
Eh makubwa linuksi kubwa unaniwekea ushindwe
 
Kuolewa au kuoa ni moja ya achievement kwa binadamu. Kuna sherehe 3 kuu, kuzaliwa, kuoa/kuolewa na kufa.

Mungu akikujalia uhai na uzima basi ni vyema ukaolewa tu. Hayo mambo ya majumba na magari ya kifahari ni mambo ya mapokeo tu. Kikubwa wote ukifika mda wa kulala mtalalia godoro na muda wa njaa mtakula chakula vivyo hivyo hata kwenda kujisaidia pia. Kila mtu haja yake hutokea makalioni.😄

Hizi mbwembwe zingine za dunia zisikutoe kwenye focus. Gari ni lile lile, hata likiwa Maybach au IST wote mtapanda na litawafikisha mnapoenda. Nyumba ni zile zile tu, zitapangwa tofali na mbao na mabati. Atakayejenga ya million 300 na ya million 70 wote hawatanyeshewa na mvua. Wataangalia Azam tv wao na watoto wao kwenye makochi.

Nothing makes a difference in life but only death.
 
Eh makubwa linuksi kubwa unaniwekea ushindwe
Sikuwekei nuksi bali hiyo ndio trend, inavyo kuwaga Madam Rita kuna kipindi akawa analalamika wanaume wana muogopa, huku nyuma akawa na kazi ya kumtunza Kiba na Hemed Phd, Uwoya na Dogo Janja,Kala ,Linex,Mlela nk,then Kajala na Quick Racka baadae akamwachia Konde,Nicole na Mocco Ginius,Shilole na Nuu,Uchebe na wengineo idadi nimeisahau.Hao unao wajua, sasa usio wajua kuna wenzenu pamoja na fedha na elimu zao,wanalea bodaboda tena hii category ndio mpo wengi.

Unawaona hawa maslay Queens wanao anika matako (Sanchoka,Tuerny,Posh nk) mitandaoni na kuwauzia vibopa,baadae watatafuta viben ten,maana kuna kipindi watapwiyanga watachoka ,wataamua kukaa chini kutafuta wa kutulia nae, wale wa maana ambao waume wema hawato wapata sababu ya matukio yao ya nyuma huko Social networks na ndipo wanapo hamia kwa vibenten na Vibenten havina hiyana.
 
Hujanielewa kutunza mwanaume ukiolewa ukamtunza mwanaume huu ni upuuzi mwanaume lazima akutunze wewe lazima umpe legacy yake so kama huna uzao basi utapata tu ila kumtunza mwanaume hapana aisee .
NAmpo wengi mnaoa kisa pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…