Wanawake mliofika 30+ acheni kutusumbua sisi washamba tunaovaa mashati ya vitenge na suruali za vitambaa

Unaweza kupunguza sauti ndugu?
Maana Trump kakata mirija huko sasa ili watu watembelee walau chork ni vyema sauti ikawa chini ,nisamehe mkuu!
 
Hapa ndio napopenda mie, wanawake ujanja wote mwisho 28.
Akishagusa 29 anaanza kupanjc. Yupo mmoja hapa ni 29 anajua nina ngoma lakini anasema wee mzabzab nioe tuu
Hivi Mtani wangu hii ngoma unayoisemaga ni kweli hivi? πŸ€”

Ndo umuoe kwani shida iko wapi sa.
 
Wa aina hii baadhi yao wanapatikana hata humu pia Mkuu yaani wanachokiandika na uhalisia hata haviendani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…