Wanawake mliofika 30+ acheni kutusumbua sisi washamba tunaovaa mashati ya vitenge na suruali za vitambaa

Gily Gru huyu shangazi amechanganyikiwa asee nimecheka sana
 
Kwann alikupiga chini!!!!
 
Chai unafananisha maybach na aiestii!!
 
Aisee
 
Kuna mmoja alipost anasaka mume humu nikamfata inbox ,picha limeanza naulizwa kabila ,baada ya kusema ni ngosha naambiwa sisi wabaguzi,picha kimefuata eti unaelimu gani ?Nikajibu mie Beckham (winga no7). JIBU NILILOPEWA HATUENDANI STATUS YEYE NI MASTERS HOLDER NA MTUMISHI, NIMECHEKA HADI PUMBU ZIKATIKISIKA.
 
Aisee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…