Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
Ni kweli, halaf mbona kuna wanawake 40s huko lakin wako poa tu.Chunguza vizuri huko ni kujihami na msongo tu , hakuna watu wanao pelekeshwa na mapenzi na uchumi,kama hawa vijana wanaokandia wanawake 🤔🤔
Mfano, mi wife kanipiga chini akiwa na 36 yrs na am sure anayemla bado anamfaidi tu maana si kwamba kachoka.
Sio kila mwanamke yuko desparate namna hiyo, kuna wengine wametuacha na si kwamba wana haja sana ya kuolewa