Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
Ni kweli, halaf mbona kuna wanawake 40s huko lakin wako poa tu.Chunguza vizuri huko ni kujihami na msongo tu , hakuna watu wanao pelekeshwa na mapenzi na uchumi,kama hawa vijana wanaokandia wanawake 🤔🤔
Wavaa vitenge na sisi tunaringa sasa. Soko letu lipo juu kwa mimama ya 30+Tresor Mandala nijibu basi jamani
Mama yako nani hebu koma kama ulivyotupwa dar na kabegika shangazi kajaWavaa vitenge na sisi tunaringa sasa. Soko letu lipo juu kwa mimama ya 30+
Hauna soko tena wewe wa 1990Mama yako nani hebu koma kama ulivyotupwa dar na kabegika shangazi kaja
Kuna mdogo wangu anapondea sana wanawake kuja kumchunguza vizuri kumbe kuna mwanamke mmoja kamteka na anampelekesha vibaya sana, dogo alikua na duka la vifaa vya ujenzi limejaa, kalihonga mpaka limebaki kama mbavu za mbwa.Ni kweli, halaf mbona kuna wanawake 40s huko lakin wako poa tu.
Mfano, mi wife kanipiga chini akiwa na 36 yrs na am sure anayemla bado anamfaidi tu maana si kwamba kachoka.
Sio kila mwanamke yuko desparate namna hiyo, kuna wengine wametuacha na si kwamba wana haja sana ya kuolewa
30+ wanawake wa hovyo sanaVijana mnalia sana
Ha hahahaha, ahsante sana, Rafiki Jirani, na wewe hongera zakoTresor Mandala happy weekend unaonekana mtu fine fine yaani sifa zako zifuatazo mkarimu, muelewa , usiyetaka mengi hongeraa zako .
Vilio vimekua vingi dada zetu wapunguze spana aseeVijana mnalia sana
Swali lipi? Nikumbushe, Rafiki Jirani wa MsasaniTresor Mandala nijibu basi jamani
hahahaha , hana kiherehere bana mke wangu mpole kama Mimi ,yeye ofcn , nyumbani na kanisani basiUnajisifu tu ila ukweli 2010 ndio ulioa namke wako anakihere here sana
Kweli wee i will take u to the candy shop make u lick that lolipop ooohhhHaya nawachanganyaga ili msinizoeee .
Nimeandika bado wanaume wananitq nikipitq barabarani
Hahahaha hapana,ila unakaribia ukweliNasema ukweli jamani
Sa kama yule ndugu Yako aliebaki na bakala tupu za duka lazima apondeVilio vimekua vingi dada zetu wapunguze spana asee
Sasa mmejipangaje ? Nasikia Trump amegoma kutoa pesa za kuwanunulieni njugu sijui mtaishije..!!Hapa ndio napopenda mie, wanawake ujanja wote mwisho 28.
Akishagusa 29 anaanza kupanjc. Yupo mmoja hapa ni 29 anajua nina ngoma lakini anasema wee mzabzab nioe tuu