Wanawake mlioolewa na wale msiowategemea mliwezaje

Navurugwa yaani sijui ni kweli wakati wa Mungu au laa
Kaa chini tulia,. Omba Mungu namaanisha sali sana ili Uweze kuona yupi ni sahihi na ufanye maamuzi

Kingine usiogope sana kiasi cha kuwaza huko mbele itakuwaje,. Hiyo ni fear of Unknown wachana nayo kabisa,. Mambo yakibadilika na wewe utabadilikaga tu huko mbele maisha mafupi haya
 
baada ya kuona mahusiano yangu na huyo kijana hayaeleweki nikatafuta backup

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mwanamke wewe tulia na uliza kichwa.. Utadumbukia pabaya ni kama unataka iweje wee mwenyewe.. Mwili wako usije onyesha kila mtu kisa huyo eti wiki mbili tu..

Ya backup wanaume wengi humu lazima umewaweza... 🀣🀣🀣🀣 Sasa nae unaona hafai... Tulia tulia kaa mbali na wanaume kwa muda uji tafakari.. Maumivu ya huyo aliye nyama za yakutoke kwanza.

Hujafika kwenye ndoa.. Tayari unataka ndoa na upo hivyo!!!!! .. Tulia

Mtu hauna uhusiano nae anataka kukupa, embu tuambie unawaambia nini naona kama upo kidesperado aka kicheche unawaonyesha Tamara ya kutolewa ila haufunguki huku kiuwekli.

Tulia bana miguu kwa sasa.. Ukisali mwema akujie utajua tu na utaolewa.
 
Kundi ni kubwa mama , hapo unaweza ukajichanganya asee ! Wapunguze kwanza angalau ubakize wawili tu ndo ulinganishe vigezo ! Upite na mmoja wao !
Lakini na wewe pia ni kama hujui unataka nini na kigezo chako kikuu ni kipi kuna mmoja unampenda kuliko wote hapo bhana kama ndo mzinguaji basi wateme hao wengine na yeye mteme anza upya
🀣🀣
Anyway omba Mungu akupe macho ya rohoni ! Ndoa ukiyakanyaga asee utalia, utanuna , roho itajikunja utajuta !!
 
🀣 Ukishayatimba huko ni balaa , utapata wapi nafasi ya kubadilika wakati mtu michezo yake ni ile akipanic anatoa bastola au anaandaa gunia la mkaa
 
Umeshauri kama Dada kabisa , asiposikiliza hapa basi !
Mtoto anaonekana nae ana wenge back up ni nyingi.
Atulie akili zisogeleane kwanza !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…