Wanawake mlioolewa na wale msiowategemea mliwezaje

Wanawake mlioolewa na wale msiowategemea mliwezaje

Unakuta mwanamke yupo mzito sana kwenye mawasiliano kumbe amekuweka backup. Ukimpotezea na ukamsahau ukaendelea na mambo yako unashangaa baada ya mipango yake kufeli miezi 4 ndiyo anakutafuta. Hapo akili wala moyoni hayupo tena na wewe unamuweka backup.
Shida ya wanawake, yule mwenye mipango ya dhati ya kumuoa ndiyo hamtaki anamtaka yule ambaye hana mipango naye kwasababu tu amekidhi vigezo vyake ila jamaa hana mpango naye
Shida ya wanawake wanatumia hisia sana kwenye mapenzi kuliko akili ndiyo wanajikuta wapo kwenye mikono isiyo sahihi
Tufanyaje sasa na ndivyo tulivyoumbwa
 
Basi hujawa tayari , ni kitu ambacho unakitaka for funny tu 🤣 ikiwa uhitaji wako kweli hadi kufunga utafunga na Novena zote utasali !!

Kwa sasa ndoa sio kipaumbele chako umekua tu motivated kwa sababu wanaokuja wanataka ndoa ! Kama haupo tayari tulia tu jitunze
Napata ushawishi tu mkuu
 
Unaweza hisi wao ndio wanakuchanganya, ila uhalisia ni kwamba wamekukuta tayari umeshachanganyikiwa.

Sitoshangaa ukija kuoelewa na mtu mwingine tofauti kabisa, nje ya hao uliowaweka njia panda na huyo unayedate nae sasa.
Ooh
 
Back
Top Bottom