Wanawake mlioolewa tuwekeni wazi tunapowatongoza. Riziki ulinifanya kukoswakoswa na risasi kwakuwa ulinidanganya uko single

Wanawake mlioolewa tuwekeni wazi tunapowatongoza. Riziki ulinifanya kukoswakoswa na risasi kwakuwa ulinidanganya uko single

Watu wengine wanatakaga kupakwa mafuta bure tu
 
Huonyeshi kujuta wala kufanya mabadiliko....
Au unamchongea Riziki kwa jamaa yake?
Maana Riziki alimwambia mumewe kuwa hujamla lakini wewe umeweka documentary hapa!
Au ni tangazo juu ya utaalamu wako wa kutoa katerero?

Anyway ni maisha yako braza.
 
unasikitika alafu unataka tena, safari hii hutoki salama
 
Back
Top Bottom