Wanawake mlioolewa tuwekeni wazi tunapowatongoza. Riziki ulinifanya kukoswakoswa na risasi kwakuwa ulinidanganya uko single

Sio lazima uambiwe ni mke wa mtu, ila tu roho ikihisi ana mtu achana nae kwani wao ni wajanja sana. Wapo wengi ambao hawana watu. Ukitaka kuona ulimwengu ni jehanam cheza na wake za watu
 
Back
Top Bottom