Wanawake mlioolewa una ujasiri wa kukataa kuchepuka na ex wako?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Hapa sizungumzii ma ex ambao mliachana kwa sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wenu kama mmoja kwenda nje kimasomo, kuhamishwa kikazi, kufungwa jela. n..k

Wanawake mlioolewa, je ex wako ambae hamkukosana bali mliachana kwa sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wenu ukikutana nae leo una ujasiri wa kukataa kuchepuka nae?
 
Aiseeee sijaolewa Ila katika kitu sijawai na Wala sifikirii kufanya ni kuliwa na ex wng.

We are done....we are done.
Uzuri wanakijuaga kichwa changu hawathubutugi ata kuniongelesha useng* huo.na sijawai achana na mtu kiugonvi wote kiroho safi.wakinipigia ni kulaumu baada ya kuumizwa huko ama wamenikumbuka tu.
 
Huyu ndo mke wa kumpa ATM card ,endelea hivyo hivyo u worth a billion dollar
 
Nimekupenda bure[emoji87]
 
Wewe je waeza ama huwezi? Apply that ans to your question!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…