Wanawake mlioolewa una ujasiri wa kukataa kuchepuka na ex wako?

Wanawake mlioolewa una ujasiri wa kukataa kuchepuka na ex wako?

Mmmmmh! inaonyesha umeshapitiwa na Mabehewa mengi sana si moja huyo atakayekuowa atakuwa kaowa Cha wote "Nothing new" huna jipya 😝😝😝
Haki ya Mungu siowi mimi
Kwakweli ni mengi......manne sio madogo.
Jipya sina kiukweli wala hata hujakosea.
Usioe.....unataka uoe ili uvumbue nini???
Live ya life dude
 
Aiseeee sijaolewa Ila katika kitu sijawai na Wala sifikirii kufanya ni kuliwa na ex wng.

We are done....we are done.
Uzuri wanakijuaga kichwa changu hawathubutugi ata kuniongelesha useng* huo.na sijawai achana na mtu kiugonvi wote kiroho safi.wakinipigia ni kulaumu baada ya kuumizwa huko ama wamenikumbuka tu.
Duuuh hujawahi kukutana na mgumu, au hujawahi kumpenda m'me kwa dhati ya moyo wako, ila nakutahadhalisha w'me wagumu wapo, mimi ni miongoni mwao!
 
Yani nimeolewa alhamdulillah nikachepuke na mtu ambae hakuona thamani yangu akaniweka ndani kwa kipi?

Mimi ukishakua ex haijalishi tumeachana vipi kwa wema kwa uzur tayar nimeshajenga ukuta wewe huko mie huku

Sasa nna mume ndani nichepuke kisa nn?? Ni heri nimwambie ukweli ni mume wangu bana leo sjafrahia ni heri niwe wazi kwake ni halali yangu kuliko kwenda kujdhalilisha nje

Siwezi kuchepuka sio na ex tu na yeyote yule mbali na husband.
 
Vyema ukiyafanya uliyoyaandika
 
Kwakweli ni mengi......manne sio madogo.
Jipya sina kiukweli wala hata hujakosea.
Usioe.....unataka uoe ili uvumbue nini??? Live ya life dude
Watu wengine tuna roho ndogo sana na zakikatili, kweli wajameni mtu unaanzaje kufunga ndoa na mdada kama wewe tena wewe una kauafadhali wanne tu wenzio unakuta 40 au 60 mpaka amekuwa na radha ya chumvi😛😛

Sasa hivi ni kuwazalisha tu
 
Back
Top Bottom