Wanawake mlioolewa una ujasiri wa kukataa kuchepuka na ex wako?

Wanawake mlioolewa una ujasiri wa kukataa kuchepuka na ex wako?

Upo kama mm..haijawah tokea wala kuwaza kbs .mie nawachukulia km scrapers tu
🤣🤣 Eti kuna binadamu hawaamini Kuna wanawake hawajawai kuliwa na ex wao.they see t z impossible.......while mi ninaona ni kinyaa kitakatifu n disrespecting my self.
 
Wengi wapo lakin achana na penzi la zamani tena kama hamkuachana kwa visa, kulikumbushia huwa linanoga sana.


Hahahhaa mm haijawah kuachana bila kisa...!na mara nyingu mm ndo naacha so siwez kbs kumrudia..Ht km aniache yy siwez mrudia ...kwa kipi haswa
 
🤣🤣 Eti kuna binadamu hawaamini Kuna wanawake hawajawai kuliwa na ex wao.they see t z impossible.......while mi ninaona ni kinyaa kitakatifu n disrespecting my self.

Mimi.bahat mbaya huwa sikutan na mtu level ya ex..huwa nakutana na level ya juu..so naonaga km nawangalizia kwenye balcony ya 5th floor vile ...haka ka ex kangu kamejenga kajumba ka vyumba 2 chalinze..naskia nyumba km shule ya msingi😂😂😂😂..Mungu nisamehe...alafu namrudiaje ss mm km huyo😂😂😂...pyeee...!mwingine alipigwa na risasi bas kuutwa kuomba michango atibiwe..Mungu nisamehe
 
haaha mm hyo bahat bado sijaipata...!hapana kwakwel mie nahis atanionaje sijui.nahis ataniona km nimechooookkaaaaa...!Mie ex wangu abafanya kazi Chalinze ..mm nipo mOro na akija ananiambiaga kbs sijawah hata pataga mzuka hata niende msamv kumsalimia..pyee..!ananiboaga akiwa ana hela anampa ofa mdogo wangu wanapiga kilaji..ss ni km hua anampa msg fulan dogo..mm walaaaaa😂😂😋..Kwanza hatuendani kbs mm na yy kwasasa😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏...very local😏😏😏😏
Jamani shouger pole kwa kudate na local chicken
 
Aiseeee sijaolewa Ila katika kitu sijawai na Wala sifikirii kufanya ni kuliwa na ex wng.

We are done....we are done.
Uzuri wanakijuaga kichwa changu hawathubutugi ata kuniongelesha useng* huo.na sijawai achana na mtu kiugonvi wote kiroho safi.wakinipigia ni kulaumu baada ya kuumizwa huko ama wamenikumbuka tu.

Unafaa kuwa mke
 
Back
Top Bottom