scalethat
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 1,063
- 1,898
Sasa ugum unauhusiano gani na kulana while mlishaachana.......apo pa kupenda sasa sijakuelewa bado yaan kwamba ukiwa unampenda mtu n yeye hakupendi lakn akiomba mzigo natoa tu kwasababu moyo wng unamwelewa that's all!!!?Duuuh hujawahi kukutana na mgumu, au hujawahi kumpenda m'me kwa dhati ya moyo wako, ila nakutahadhalisha w'me wagumu wapo, mimi ni miongoni mwao!
Mana Kama anakupenda back,msingeachana no matter what!
Bro tukotofauti sanaaaa, viumbe km mm wapo.trust me sio maneno matupu