Wanawake mna haki ya kutopenda Wanaume wafupi

Wanawake mna haki ya kutopenda Wanaume wafupi

Aisee mimi ni mwanaume ila wanaume wafupi wanaudhii yaani hata ukimuangalia anatia huruma hasa akiwa na kitambi daah..
Sikosoi uumbaji wa Mungu ila mwanaume kuwa mrefu inapendeza bana
kuna bwege mmoja n mfupi kanitapeli ila kila nikifkiria nawaza yule bwege nikimkamata ntamrefusha na ule ufupi kwanza kutapeliwa na mtu mfupi bonge la dharau
 
Aisee mimi ni mwanaume ila wanaume wafupi wanaudhii yaani hata ukimuangalia anatia huruma hasa akiwa na kitambi daah..
Sikosoi uumbaji wa Mungu ila mwanaume kuwa mrefu inapendeza bana
Kwakua ulijiumba na Mungu ni wako pekee yako basi endelea na uhuru wako, relativity is universal and infinite
 
Aisee mimi ni mwanaume ila wanaume wafupi wanaudhii yaani hata ukimuangalia anatia huruma hasa akiwa na kitambi daah..
Sikosoi uumbaji wa Mungu ila mwanaume kuwa mrefu inapendeza bana
Wewe ni mwanaume unatamani ama unapenda mwanaume wenzako awe mrefu ili iweje, akupige miti?

Hakuna mtu anachagua mzazi, ufupi ama urefu ni matokeo makubwa sana ya urithi kutoka kwa wazazi. Hakuna mtu anapenda kuwa mfupi kama ingekua uchaguzi wake.

Mimi ni mrefu, kwa Tanzania ni wale tunaitwa tolu,6.5 ila siwezi kudharau mtu kwa sababu ni mfupi.

Tuheshimu utu na maumbile ya watu.

Wanawake wakisema wanapenda wanaume warefu ni sawa ila sio mwanaume unapenda wanaume warefu, wakufanyeje?
 
Back
Top Bottom