Wanawake mna haki ya kutopenda Wanaume wafupi

Wanawake mna haki ya kutopenda Wanaume wafupi

Aisee mimi ni mwanaume ila wanaume wafupi wanaudhii yaani hata ukimuangalia anatia huruma hasa akiwa na kitambi daah..
Sikosoi uumbaji wa Mungu ila mwanaume kuwa mrefu inapendeza bana
Ww utakua si riziki hv mwanaume u akuja kukosoa mwanaume mwenzio ety wanawake wana haki kuwakataa halafu ww unaungana na wanawake dah watu tafteni thamani ya x
 
Kuna mwanamke alikuwa slay queen nilizaa naye, ni mrefu kunizidi mimi, ikawa anaogopa kutembea na mimi maeneo ya public; baada ya kuona hivyo, nikajiweka pembeni na kuweka vikwazo vya kiuchumi kama US wanavyofanya; kwa sasa analelewa na wazazi wake.​
 
Tatizo hilo huyo hakupendi man
 
Njoo hapa usome sifa za wanaume wafupi ⬇️, wanawake walizielezea 🤣
 
Back
Top Bottom