Wanawake mna haki ya kutopenda Wanaume wafupi

Wanawake mna haki ya kutopenda Wanaume wafupi

Kuna mwanamke alikuwa slay queen nilizaa naye, ni mrefu kunizidi mimi, ikawa anaogopa kutembea na mimi maeneo ya public; baada ya kuona hivyo, nikajiweka pembeni na kuweka vikwazo vya kiuchumi kama US wanavyofanya; kwa sasa analelewa na wazazi wake.​
Pole mkuu, inatakiwa ndege wafananao waruke pamoja
 
Hapo alipofika ni point of no return 🙌 wahuni wajiandae Kwa kijambio kipya mjini 🔥
Daah watanzania wengi mna matatizo aisee mimi ni straight kabisa kama unabisha niletee mke wako au demu wako au wewe mwenyewe then utakuja kutoa ushahidi humu
 
Back
Top Bottom