Wanawake mna haki ya kutopenda Wanaume wafupi

Wanawake mna haki ya kutopenda Wanaume wafupi

Wewe ni mwanaume unatamani ama unapenda mwanaume wenzako awe mrefu ili iweje, akupige miti?

Hakuna mtu anachagua mzazi, ufupi ama urefu ni matokeo makubwa sana ya urithi kutoka kwa wazazi. Hakuna mtu anapenda kuwa mfupi kama ingekua uchaguzi wake.

Mimi ni mrefu, kwa Tanzania ni wale tunaitwa tolu,6.5 ila siwezi kudharau mtu kwa sababu ni mfupi.

Tuheshimu utu na maumbile ya watu.

Wanawake wakisema wanapenda wanaume warefu ni sawa ila sio mwanaume unapenda wanaume warefu, wakufanyeje?
Amenishangaza kwa kweli.

Huenda jamaa ni chakula yani bwabwa.
 
Wapo vizuri sana wanajua kuhandle mnooo sana issue hasira Zipo karibu sana kitu kidogo tu ni mikiki
 
Aisee mimi ni mwanaume ila wanaume wafupi wanaudhii yaani hata ukimuangalia anatia huruma hasa akiwa na kitambi daah..
Sikosoi uumbaji wa Mungu ila mwanaume kuwa mrefu inapendeza bana
Tatizo ni kukuta janaume refu ila akili yake ni mbilikimo unalikuta limekaa siti ya mbele kwa mwamposa ...wanaume mrefu ila Akili zake kama SAMIA BUSHIRI
 
Ila ujue Mungu anakusikia na kuliona majanga ya Dunia Yako mengi Kuna siku utatamani iwe mfupi
 
Ushasema ni uumbaji Sasa kukosoa kunatoka wapi. Kwa taarifa Yako unachokisema hata sio shida zao.
 
IMG_3326.jpeg
Dogo unakoelekea tutakuchinja 😂
 
Back
Top Bottom