Wanawake mna haki ya kutopenda Wanaume wafupi

Wanawake mna haki ya kutopenda Wanaume wafupi

Ila watu wenye mentality kama za mleta mada ukikaza unajipigia marinda vizuri tu.

Naona amepotea ghafla hachangii uzi wake. Huenda kuna minjemba imemfata PM kumuomba trako baada ya kujitangaza na sasa yupo bize anapambana kubargain nayo PM. Sio kwa ukimya huu wa ghafla 🤔!
 
Watu mmelelewa vibaya. This is bullying, body shaming to be precise.

Urefu na ufupi haubadilishiki, ukimkosoa mtu kwa kitu ambacho hakibadilishiki unataka afanyaje?

Mara nyingi mnakuwa hamna furaha, mnataka kuhamishia huzuni zenu kwa wenzenu.

Next time do better.
 
Wewe ni mwanaume unatamani ama unapenda mwanaume wenzako awe mrefu ili iweje, akupige miti?

Hakuna mtu anachagua mzazi, ufupi ama urefu ni matokeo makubwa sana ya urithi kutoka kwa wazazi. Hakuna mtu anapenda kuwa mfupi kama ingekua uchaguzi wake.

Mimi ni mrefu, kwa Tanzania ni wale tunaitwa tolu,6.5 ila siwezi kudharau mtu kwa sababu ni mfupi.

Tuheshimu utu na maumbile ya watu.

Wanawake wakisema wanapenda wanaume warefu ni sawa ila sio mwanaume unapenda wanaume warefu, wakufanyeje?
Umemaliza
 
Watu wafupi walemavu wa height, ndio mkae mkijua kuwacheka vilema ni dhambi
 
Ila watu wenye mentality kama za mleta mada ukikaza unajipigia marinda vizuri tu.

Naona amepotea ghafla hachangii uzi wake. Huenda kuna minjemba imemfata PM kumuomba trako baada ya kujitangaza na sasa yupo bize anapambana kubargain nayo PM. Sio kwa ukimya huu wa ghafla 🤔!
Kuna mods flan n mshikaji wangu, amenitonya kuwa mtoa mada mpenda wanaume warefu alitaka hii mada ifutwe ila mods wakamkazia hakuna kufuta mpaka apate mume wa kumkaza akojoe
 
Back
Top Bottom