Wanawake mna haki ya kutopenda Wanaume wafupi

Wanawake mna haki ya kutopenda Wanaume wafupi

Aisee mimi ni mwanaume ila wanaume wafupi wanaudhii yaani hata ukimuangalia anatia huruma hasa akiwa na kitambi daah..
Sikosoi uumbaji wa Mungu ila mwanaume kuwa mrefu inapendeza bana
Inakuwaje unamuangalia mwanaume mwenzako halafu unajiweka kwenye nafasi ya Mwanamke?
Utakuwa na shida kubwa sana wewe. Yaani ukikutana na wanaume wenzako wewe unachagua kujiweka kwenye nafasi ya mwanamke?
 
Back
Top Bottom