permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Hana kosa, watu wakiwaona kwa mbali watamwelewa vibaya kuwa anatembea na mwanafunzi.Kuna mwanamke alikuwa slay queen nilizaa naye, ni mrefu kunizidi mimi, ikawa anaogopa kutembea na mimi maeneo ya public; baada ya kuona hivyo, nikajiweka pembeni na kuweka vikwazo vya kiuchumi kama US wanavyofanya; kwa sasa analelewa na wazazi wake.