secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Mwache huyo boya amezoea kupigwa miti na ni mpumbavu.Wewe ni mwanaume unatamani ama unapenda mwanaume wenzako awe mrefu ili iweje, akupige miti?
Hakuna mtu anachagua mzazi, ufupi ama urefu ni matokeo makubwa sana ya urithi kutoka kwa wazazi. Hakuna mtu anapenda kuwa mfupi kama ingekua uchaguzi wake.
Mwanaume anamtamanije mwanaume?